Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Marefa wana campaign dhidi ya timu yake? FA Wamfungie huyu jamaa au wampe filimbi achezeshe..

Siku waki-dive anasema hajaona..wakipewa kadi analia lia...si anaongoza ligi? Anaogopa?

Kaisha nusa kama wameisha legea kwa kuchoka sababu hata January 1 watacheza hao hao wakati Tots akina Rose na Chadli walipumzishwa!Yy lzm akina Matic wacheze hata mechi ya FA!Anataka eti "quadruple" msimu huu eheheheh
 
Nimeingalia hiyo incident kwenye slow motion karibu mara 10. Referee hana kosa kwa kutotoa penalty kwani Fabregas alijikwaa katika mguu wa yule mcheza na siyo kama jamaa alimtegea ili asizione nyavu. Kosa la refa ni kumpa card Fabregas ambayo hakustahili kwani hakudive na naamini kama Chelsea wataipinga card ile ya njano basi uwezekano wa kufutwa ni mkubwa sana.

Then u shouldnt blame kocha anapolalamika. Si kila kadi anayopewa mchezaji ni kweli ali dive.

Anyway mi sijalalamika na sijasema anything especially leo. M just glad Bunley wame draw na City. Hakuna timu nyingine inayonitisha.
 
article-2889924-2450974E00000578-114_636x444.jpg

Ati club kubwa .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
full of divers ... .. .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2450705500000578-0-image-a-36_1419853123083.jpg

209F17E000000578-2889924-image-m-31_1419852988920.jpg

24506D0400000578-2889924-image-a-32_1419853046660.jpg

24506EE400000578-2889924-image-a-34_1419853085027.jpg

Haka ka-Willian takes a breather on the turf after being shown
a yellow card for diving by referee Chris Foy

24506CF500000578-2889924-image-a-33_1419853058230.jpg

Baba lao kwa diving cota

24506CFD00000578-2889924-image-a-35_1419853108458.jpg

Chukua vidonge vyako .... ... pambaf kabisa .. .

24506CDD00000578-2889924-image-a-37_1419853345084.jpg

Jamani jamani msalie mtumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeCahilll huyo ...

24508EFE00000578-2889924-image-a-48_1419856281721.jpg

Wacha we .... .... .... .... .

2445006500000578-2889924-image-a-38_1419853437566.jpg

2445006A00000578-2889924-image-a-39_1419853460723.jpg

Aibu Aibu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

244D938600000578-0-Ch-a-22_1419851774992.jpg

Ndio chababu wakongwe wa huu uzi wameunyuti maana wanafahamu wana divers sio wachezaji wa soka
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Divers wanaongoza lig, mh nyie sasa nafasi ya Tisa au sita nikumbusheni
 
Divers wanaongoza lig, mh nyie sasa nafasi ya Tisa au sita nikumbusheni
Wanapasha moto kiti cha watu. Subiri muda sio mrefu utaona wenyewe wenye kiti hicho watajitokeza.
Msimu huu Chelsea kwa diving technique yao na urugby na mieleka itawagharimu sana.
 
2450705500000578-0-image-a-36_1419853123083.jpg

209f17e000000578-2889924-image-m-31_1419852988920.jpg

24506d0400000578-2889924-image-a-32_1419853046660.jpg

24506ee400000578-2889924-image-a-34_1419853085027.jpg

haka ka-willian takes a breather on the turf after being shown
a yellow card for diving by referee chris foy

24506cf500000578-2889924-image-a-33_1419853058230.jpg

baba lao kwa diving cota

24506cfd00000578-2889924-image-a-35_1419853108458.jpg

chukua vidonge vyako .... ... Pambaf kabisa .. .

24506cdd00000578-2889924-image-a-37_1419853345084.jpg

jamani jamani msalie mtumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeecahilll huyo ...

24508efe00000578-2889924-image-a-48_1419856281721.jpg

wacha we .... .... .... .... .

2445006500000578-2889924-image-a-38_1419853437566.jpg

2445006a00000578-2889924-image-a-39_1419853460723.jpg

aibu aibu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

244d938600000578-0-ch-a-22_1419851774992.jpg

ndio chababu wakongwe wa huu uzi wameunyuti maana wanafahamu wana divers sio wachezaji wa soka
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

catch us if you can
 
Jose Mourinho

Trophies Won:

Porto:
2003 Portuguese League
2003 Portuguese Cup
2003 UEFA Cup
2003 Portuguese Super Cup
2004 Portugese League
2004 UEFA Champions League

Chelsea:
2005 English League
2005 English League Cup
2006 English League
2007 English League Cup
2007 FA Cup

Inter Milan:
2009 Italian League
2010 Italian League
2010 Italian Cup
2010 UEFA Champions League

Real Madrid:
2011 Spanish Cup
2012 Spanish League

Philosophy:

"Nowadays a coach has to be multi-faceted. He has to master a lot of areas. From planning to implementation, methodology and leadership."

Hate him or Love him, this Man is simply "a special one"

Nilipita mitaa hii kuwasalimia tu!Mbona kimywa sana kama mmefiwa ndugu zangu?
Akija Ntuzu everlenk @ agosti 8 Mentor wasalimieni sana.Sisi Anfield gari limewaka!

Wakati letu linawaka nyie mnaelekea kuishiwa gasoline kwenye mlima Senkeke si hatari hii jamani?

Nawe unaweza kuisema chelsea, haya capital one gar lenu litazima
 
Wanapasha moto kiti cha watu. Subiri muda sio mrefu utaona wenyewe wenye kiti hicho watajitokeza.
Msimu huu Chelsea kwa diving technique yao na urugby na mieleka itawagharimu sana.

Haoooo kama fisi kusubili mkono utaanguka
 
Jose Mourinho

Trophies Won:

Porto:
2003 Portuguese League
2003 Portuguese Cup
2003 UEFA Cup
2003 Portuguese Super Cup
2004 Portugese League
2004 UEFA Champions League

Chelsea:
2005 English League
2005 English League Cup
2006 English League
2007 English League Cup
2007 FA Cup

Inter Milan:
2009 Italian League
2010 Italian League
2010 Italian Cup
2010 UEFA Champions League

Real Madrid:
2011 Spanish Cup
2012 Spanish League

Philosophy:

“Nowadays a coach has to be multi-faceted. He has to master a lot of areas. From planning to implementation, methodology and leadership.”

Hate him or Love him, this Man is simply "a special one"

Hebu tupekulie na wenga basi
 
Hebu tupekulie na wenga basi

Arsene Wenger

Trophies Won:

Monaco:
1988 French League

Nagoya Grampus Eight:
1995 Emperor's Cup-
1996 J-League Super Cup

Arsenal:
1998 Premier League
1998 FA Cup
2002 Premier League
2002 FA Cup
2003 FA Cup
2004 Premier League
2005 FA Cup

Philosophy:

“I believe the target of anything in life should be to do it so well that it becomes an art"

Nimeipenda Philosophy yake Babu,
NOTE : Kuna mafanikio mengine mengi Arsene ameyapata katika ukocha ambayo hayapimwi kwa vikombe"trophies" ambayo yamempa heshima, ila kwa kigezo cha "trophies" kwa ulaya amezidiwa na makocha wengi tu akiwepo na Jose Mourihno
 
Kaanza mambo yake Mourihno na hatutakubali atuharibie ligi kama alivyofanya Italy na Spain akinusa kama anaenda kukosa ubingwa,FA wanamfungia huyu muda si mrefu!

Chelsea wachezaji wamechoka hawa,maana ni wale wale wanacheza hata kwenye Capital cup

Acheni uongo wenu anaharibu ligi kivipi? Asiseme ukweli kutokana na hali ilivyo? Mimi nilisema tangu nyuma hapo juu ya swala la waamuzi na hili ndio Mourinho kalisema!
 
Kaisha nusa kama wameisha legea kwa kuchoka sababu hata January 1 watacheza hao hao wakati Tots akina Rose na Chadli walipumzishwa!Yy lzm akina Matic wacheze hata mechi ya FA!Anataka eti "quadruple" msimu huu eheheheh

Mtasema sn lkn ukweli tutawaambia tu!
 
Arsene Wenger

Trophies Won:

Monaco:
1988 French League

Nagoya Grampus Eight:
1995 Emperor's Cup-
1996 J-League Super Cup

Arsenal:
1998 Premier League
1998 FA Cup
2002 Premier League
2002 FA Cup
2003 FA Cup
2004 Premier League
2005 FA Cup

Philosophy:

“I believe the target of anything in life should be to do it so well that it becomes an art"

Nimeipenda Philosophy yake Babu,
NOTE : Kuna mafanikio mengine mengi Arsene ameyapata katika ukocha ambayo hayapimwi kwa vikombe"trophies" ambayo yamempa heshima, ila kwa kigezo cha "trophies" kwa ulaya amezidiwa na makocha wengi tu akiwepo na Jose Mourihno

Babu bado sn kanyanyua ndo ten times, wakati the special one 17 times, makombe yao mengine n timu haina maden, tumejenga uwanja, mech zetu kiingilio ni kikubwa,top four mwaka huu lazima nk ila niwapongeze kwa unbeatable
 
Acheni uongo wenu anaharibu ligi kivipi? Asiseme ukweli kutokana na hali ilivyo? Mimi nilisema tangu nyuma hapo juu ya swala la waamuzi na hili ndio Mourinho kalisema!

Sidhani kama ni sahihi kwa kocha kumsema refa!Waache wachezaji waongee wewe Mwl haitakiwi na ndiyo maana FA huwa wakali kwa walimu

Chelsea na Liverpool beki Cahil alikamata mpira kwa makusudi kabisa lkn BR hakusema chochote,maamuzi ya refa yaheshimiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom