Acheni uongo wenu anaharibu ligi kivipi? Asiseme ukweli kutokana na hali ilivyo? Mimi nilisema tangu nyuma hapo juu ya swala la waamuzi na hili ndio Mourinho kalisema!
Mkuu makosa ya waamuzi yapo...wakati mwingine yanakunufaisha pia kukuudhi..ndo mpira.
Sasa mambo ya Marefa wana kampeni dhidi yake yanatoka wapi? Yani Mourihno aonekana yeye Special mpaka marefa wapange mbinu chafu dhidi yake?