Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umeliona hilo MTM mwaka huu tofauti na mwaka jana vigogo wenzetu walituonea ila mwaka huu tumelipa.

mkuu yaani sasa naona inatisha, maana nawaombea sana mabaya lakini wapi, eniwei, heshima mbele your team is the most complete in the EPL ila mpunguzeni yule mabange Obi, he tarnish chelsea's players' integrity and sportsmenship
 
Mbona muko na tumbojoto? Acheni kuhesabu masaa, sisi mbona tuko kimya? Tunawaachia vijana wetu ili miguu yao ndio iongee, Good news kwenu ni Lampard na Drog wamepona ghafla (tulijuwa ni fiksi tu na wala sio majeruhi) Nyeti tuliyopata ni kwamba Chelsea watajitahidi kumkaba Fabregas (man-marking) ili kupunguza supply kwa forwards zetu, habari toka kambi ya Emirates ni kwamba kama kawa tutacheza 4-3-3 lakini midfields na wide players watakuwa wana-switch position all the time! tuone kama wazee wenu watahimili movenments za vijana wetu na ku-switch position kwa dakika 90! Mazee tafadhali musikose kurudi hapa baada ya mechi kesho!

Nimeona mkuu jinsi mlivyokuwa mna-switch ndani ya dakika 90, mpaka wazee wa Chelsea wamepoteana! Duh, Arsenal noma!
 
Chelsick acheni kununua marefa - bado mnaendeleza libeneke tu.

wewe !!!!! Chelsick ndo nini?au unazungumzia ligi ya sayari ya mars...hakuna kitu inaitwa chelsick bana....poleni arsenal..mambo ya chenga twawala hayo
 
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake

mpaka wakaacha kumzomea.hahaaaaaa ahhhh Arsene wenger a coach with a poroffesorial loook...unalo hilo ...vyuma vyote halali hakuna mambo ya kulalamikai penati
 
Sawa mumeshinda nami sina budi kuwapa hongera! anyway own goal, free-kick sio kwamba tulizidiwa kimpira,tulizidiwa zaidi kisaikolojia.
 
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake

Kawaumbua kinoma, wao wanazomea jukwaani yeye anafanya mambo on pitch....what an irony!
 
Hii wiki hatutolala, Chelsea na Liverpool wameshinda mbona balaa mtaani hapa...watani hongereni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom