Mapumuziko chelsea 1 city 1 still we have chance to win this game and it's important to make it.
kweli siku ya kufa nyani miti yote uteleza.
hawa watu hawaonekani leo watarudi siku ya champions league.huwa wanapiga kelele sana majukwaa ya watu siku yao ya kuchinjwa ikifika hawaonekani ha ha ha ha.Kawaida yao Chelsea wakishafungwa zikiwa zimebaki dakika kumi za mwisho wanacheza rafu hehe...! Masanilo na Invisible mpo?
kumbe na nyie huwa mnafungwa? masanilo leo inamana simu yake haina chaji ya kuulizia matokeo?
pole sana mkuu wewe ndio mshabiki wa kweli manake hupo wakati wa raha na balaa .Hii sentence leo imejidhihirisha vijana wametubana kila idara ndo maana ya soka lazima ujue kuna matokeo ya aina tatu.
Soka leo cyo starehe sasa ngoja nikafanye mengine..