Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HAhahahahahahahah Drogba kapokea pande safi la Ashley kitu wavuni!
 
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake
 
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake

Raha sana haya mambo ndo tulikuwa tunayataka..Vijana kazi nzuri sana hii.
 
Drogba kiboko! Ninavyoona mimi ni the most lethal strikers in the world... kuliko akinaTorres, Rooney, Ibra, Ronaldo.
 
Wakuu hiki kipindi cha pili tunaruhusu sana kushambuliwa inaweza leta shida hii
 
Softly the three goals entered the lefy hand side of Almunir! His ribs must be aching!
 
Chelsick acheni kununua marefa - bado mnaendeleza libeneke tu.
 
kumfunga arsenal ni sawa na kumsukuma mlevi vile!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom