Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongera sana watani...AB-Tichaz (aka mzee wa mapicha), Masanilo (aka mzee wa Zenj), Peasant, Mvina (aka mzee wa ugimbi), Eglypz etc! Huu mpambano bado ni asubuhi kabisa.....tutajipanga upya.........!

NL unasema bado mapema unawafariji wanaopoteza game muhimu nini? Maana kama utaniambia unasubiri mwezi wa nne ndo ushinde na kuchukua ubigwa hizo zitakuwa ni ndoto.Wakati we unaomba ushinde pia utakuwa unaomba na wengine wapoteze kitu ambacho ni kigumu pia.Kama haujaikubali kazi ya vijana subiri second round na mjipange kiukweli.
 
Poleni jamani humu, hasa shemeji Masanilo wenzenu sisi Gunners tumeshazoea.
 
Teh teh teh teh

Hii thread nilikuwa siioni leo! Mwendo mdundo shemeji tugange yajayo, tulikuwa pungufu Kalou aliumia tukiwa tumeisha tumia sub zetu zote, penalti nibahati nasibu. I am proud kuwa shabiki wa Chelsea
 
Kelele nyingi timu yenyewe mafia wakiondoka inadolola. Si mmeona mafia wasipotoa fweza Chelsick kwisha makali yake ati walitumia sub wakawa kumi. Kwani hilo ni tatizo la nani. Penati bahati nasibu kwa nini na nyinyi msisibu? Nyie subirini mwaka huu kutoka na sufuri tu. Tena na majigambo yenu ati sasa tutashinda mechi zote haya tunawakodolea macho tu. Huyo Kakuta ati naye chipukizi anayeshindwa kufunga kutoka yadi 12. Tunasubiri mnunue marefa wote ili wawabebe si mnakumbuka Drog the bar alikiri kuwa huwa ana dive?
 
Huu ni ulevi wala si wapenda soccer wanaweza andika hili!
 
Sasa mmeisha watuma mafia kwenda kutoa fweza? Maana bila hivyo mtakula kichapo tena cha uhakika. BTW mbona unakwepa maswali?

Napata shida endeleza kujadiliana kisoccer na wewe maana unachoondika sidhani unafikiri kidogo! Sasa kama hapo nitakujibu nini kuhusu Fwedha?
 
Sasa mmeisha watuma mafia kwenda kutoa fweza? Maana bila hivyo mtakula kichapo tena cha uhakika. BTW mbona unakwepa maswali?

Hivi ulishawahi pimwa kiwango cha akili zako? Maana naona unamwaga upupu hapa bila sababu au ndo unaingia kutafuta umarufu ndani ya kijiwe chetu.Jadili mambo kimichezo na kama uelewa wako wa soka unaishia kwenye level ya Majimaji na lipuli si ubaki huko!
 
Khe khe khe nenda Mirembe, kule watacheck Mvina kama ana akili timamu.au vipi? Kwani hufahamu Chelsick ni timu ya mafia? Wewe vipi unasahau jinsi refa wa Scandinavia (country) alivyoacha kazi. Naona wewe mgeni kwenye huu ulingo yaani unaongelea Maji Maji na Lipuli hizo ndio timu unazozifahamu? Karibu kwenye jukwaa lenye ulingo mpana ambapo tunasema ukweli na uongo ni mwiko.
 
Hapa ndo nimejua we ni wanamna gani na kiwango chako cha kufahamu soccer na kwa maana hiyo hata nikitaka kukuelimisha haitasaidia maana tayari umeishakariri vitu vyako kichwani.
 
Chelsick ndo timu gani?hebu tutolee aurguments zako za kitoto hapa..sio lazima uwe member JF au uchangie unaweza ukaangalia forums nyingine hapa unaonekana si mahali pako..Chelsick???ndo timu gani hiyo..
 
Mkuu uyu usipoteze muda hata kujibishana naye.Kwanza jina la timu tu halijui..anazungumzia Chelsick??ndo timu gani hiyo
 
Hapa ndo nimejua we ni wanamna gani na kiwango chako cha kufahamu soccer na kwa maana hiyo hata nikitaka kukuelimisha haitasaidia maana tayari umeishakariri vitu vyako kichwani.

Mkuu huyu usipoteze muda hata kujibishana naye.Kwanza jina la timu tu halijui..anazungumzia Chelsick??ndo timu gani hiyo
 
Chelsick ndo timu gani?hebu tutolee aurguments zako za kitoto hapa..sio lazima uwe member JF au uchangie unaweza ukaangalia forums nyingine hapa unaonekana si mahali pako..Chelsick???ndo timu gani hiyo..

Khe khe khe khe khe Kumbe hata timu huijui? Kwani uhuru wa kusema ni lazima uwapende Chelsick? Kula vidonge hivyo na unyong'onyee, mwaka huu mtajijuu umafia tu! Kwani unapoomba fweza huwa unachagua tuwe na mawazo gani? Naona mawazo yako ni ya kimgando mgando hivi.
 
Khe khe khe nenda Mirembe, kule watacheck Mvina kama ana akili timamu.au vipi? Kwani hufahamu Chelsick ni timu ya mafia? Wewe vipi unasahau jinsi refa wa Scandinavia (country) alivyoacha kazi. Naona wewe mgeni kwenye huu ulingo yaani unaongelea Maji Maji na Lipuli hizo ndio timu unazozifahamu? Karibu kwenye jukwaa lenye ulingo mpana ambapo tunasema ukweli na uongo ni mwiko.

MODS, tafadhali ongezeni kitufe cha "boring" tunakihitaji kwa post kama hizi....damn!
 
Sasa wewe ndio askari kanzu hapa? Hebu tuondolee kilomolomo chako nenda kalime, nchi isije pata njaa.
 
Hapa nafuu tukajadili soka kuliko haya majungu yanayotaka kutawala hapa.Naona mida ya game ndo inakaribia huku wapinzani wetu wakiwa tayari wanacheka mambo yamekuwa poa kwao wkend hii.
 
Tukisema mnabebwa ukelele mwingi sasa hiyo ni kona kweli? Mpira mtoe wenyewe halafu mpige kona wenyewe? Umafia tu damn. Man City 0 Chelsea 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom