Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
You all need to shut it and wait for Sunday! maneno meengi, nasema pamoja na majeruhi mpira dakika 90 na bado tuna uwezo wa kuwafunga Chelsea tena sana, kama A/villa na Wigan wameweza kwa nini sisi tushindwe? hatutaki mind games hapa tusubiri j/pili. Na naamini nitaingia hapa jamvini kwenu kifua mbele!!!!
Ikawa mchana ikawa usiku, siku ya TANO imeingia.