Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
wadau wa 'darajani' tukutane hapa!
![]()
mwaka huu ni ubingwa tu!
Ooops! Sasa tutakuwa na threads ngapi mkuu?! Zitatutachanganya tu mkuu ni bora kuendelea na ile maana sioni mapungufu yake. Halafu inaonekana kama ni thread ya Drogba na si Chelsea FC. Ni mawazo tu mkuu.