Omolo
New Member
- Jan 31, 2021
- 2
- 0
Halmashauri ya wilaya ya Rorya ni halmashauri zilizoanzishwa miaka kadha huko nyuma, mbali na kwamba halmashauri hii imeshachukua muda mrefu tangu kuanzishwa kwake lakini kuna huduma zingine zimekuwa ni changamoto, mfano wa huduma hizo ni suala la maji, na ubovu wa miundombinu ya barabara, licha ya kuwa na Ziwa Victoria karibu lakini wananchi wanateseka na huduma ya maji kwani hakuna maji ya bomba katika vijiji vinavyozunguka halmashauri.
Pia tangu mbunge wa zamani atoke kwenye ubunge barabara zimekufa na nyingine hazipitiki kabisa, hivyo naomba mamlaka kuangalia hilo kwa jicho la pili.
Pia tangu mbunge wa zamani atoke kwenye ubunge barabara zimekufa na nyingine hazipitiki kabisa, hivyo naomba mamlaka kuangalia hilo kwa jicho la pili.