changamoto ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete

    Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?. Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo; 1.Ilikuwa siasa? 2.Timu iliyoundwa na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

    Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji katika manispaa ya Lindi

    Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji. Maeneo haya ni maeneo muhimu kama sehemu za mjini kati, lakini pia yana sehemu muhimu kama...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la kukosekana kwa maji katika maeneo ya Dar Es Salaam (hasa Changanyikeni)

    Mbali na mvua zinazoendela kunyesha kwa wingi,maeneo mengi ya Dar es Salaam mfano Changanyikeni (Chuo cha Takwimu, maeneo ya Kanisa Katoliki, Jeshini), Sinza na Kimara hayana maji kwa wiki ya pili sasa na hakuna taarifa yoyote kutoka kwa mamlaka zinazohusika. Maji yanayouzwa yanapatikana kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto Ya Maji maeneo ya Ubungo Msewe na Kimara Baruti

    Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500...
  6. F

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Eneo la Lemguru Kisongo A to Z maji hayajatoka kwa miezi miwili

    Kumekuwa na tatizo la maji katika eneo la Lemguru Kisongo A to Z, maji hayajatoka miezi miwili sasa na bili za maji zinakuja zikiwa juu bila maelezo Tatizo limeripotiwa kwa Mkurugenzi idara ya maji Arusha, anawajibu wananchi hana taarifa za tatizo la maji katika eneo hilo, na kuwa mkali kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama. Kusoma kilichotokea...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji

    Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Changamoto ya maji Dar ni kipindi cha mpito

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika. Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara...
  13. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maji imenikumbusha mbali. Soma ujifunze

    Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua wanamwagilizia. Hii hali imenikumbusha kipindi fulani nafanya kazi kwa wahindi upanga dar es salaam...
  14. 888I

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

    Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao 😂😂😂 mwl
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

    Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje. _________ Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania KERO Kinyerezi maji bado tabu,yanatoka mara Moja kwa mwezi licha ya tanki kubwa la Bangulo kuanza kutumika

    Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo ni tarehe 6 June Maji hayajatoka,kama idara ya maji kazi hamuiwezi basi waambieni wananchi waende...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilimanjaro: Changamoto ya Maji eneo la Kitefure, Longuo licha ya mvua kunyesha

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana mara moja tu kwa kipindi kirefuna eneo hili lina wakazi wengi sana jamii hii ni ya wanafunzi wa vyuo...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RUWASA yatatua changamoto ya maji Kwala, yakamilisha mradi uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4

    Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
Back
Top Bottom