hakuna maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ni takribani siku tano sasa Mji wa Kahama hakuna huduma ya maji

    Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ni takribani siku tano sasa hakuna huduma ya maji, hasa katika Mtaa wa Majengo, Kahama, ambako kuna idadi kubwa ya wakazi. Licha ya kuwepo kwa baadhi ya visima vya watu binafsi, maji yake si salama kwa matumizi. Hata baada ya kuoga, baadhi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni - Arusha hakuna maji, Hospitali, Shule wala duka la dawa

    Kwetu ni Arusha sehemu wanaita Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni, tangu enzi za bibi zetu hakuna maji hakina shule hakuna hospitali hakuna chochote miaka na miaka naomba tupazie sauti tupate hata maji tu tunanunua maji kwa pikipiki dumu moja mia tano hata barabara hatuna. Viongozi wana trekta...
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mpiji Magohe hatuna maji licha ya DAWASA kupitisha bomba miezi minne iliyopita

    Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni miezi minne imepita. Tunaomba mamlaka husika kulifuatilia suala hili na kuhakikisha huduma ya maji...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

    Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki mbili hakuna maji maeneo ya Kunduchi na maeneo ya karibu

    Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  7. lord commander

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna mgawo mkali wa maji unaoendelea kimyakimya jijini Dar, Waziri Aweso unafahamu hili?

    Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi. Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili nimebaini maeneo yote ya Kimara, Ubungo, Mbezi, Gongo la Mboto, Kinyerezi, Tabata, Bonyokwa...
Back
Top Bottom