CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Mwita Maranya,
Unataka kusema kwamba Jamaa alipata div 0 ikamtosha kwenda kusoma chuo kikuu? Au ndo kusema kuna vyuovikuu vya kata USA vilivyomppokea W Malecela? Sijakuelewa.

Alienda Chuo Cha Polisi jamii Marekani


135624_4820843478200_1475254971_o.jpg
 
- Yaani hii ndio maana ya The King Of All bongo Network Social Media, na big celeb yaani unanijua mpaka shule niliyosoma mimi sikuji wala sijui umesoma wapi, unaona siku moja nilikuwa nahojiwa na National TV najadili mambo mazito ya taifa, mtangazaji akasema ngoja tuangalie maswali toka JF, maswali yote kwa nini umetoka JF Tafadhali rudi bwana, sasa nimerudi maana ilianza kuwa kero hata nikiwa kenye starehe maswali ya JF,

- So now here I am wanajikanyaga! kanyaga! wewe unafikiri mimi nimesoma Degree ya kwanza toka 1990 mpaka leo na bado sijamaliza? I mean huna aibu unatetea mediocre! chama cha mediocre tupu!!

Le Mutuz!!

Naona unatafuta kupewa u-Dr au u- Professor wa dezo kama mchovu mwenzako aliye magogoni
 
all in all chadema,ppt maendeleo,tlp hata wakishinda tanzania itakuwa ile ile ya wagojwa kulala chini hospital,barabara kuwa mbovu kwani chama chenyewe katika majimbo kilichotwaa bado wananchi wanalia shida ya maji,barabara mbovu na mbunge akiwa mjengoni anasimamia interest za chama na sio jimbo hivo tusiwe na ulevi au ushabiki wa kisiasa tuangalie je chama gan?nani anafanya nin kwa manufaa ya taifa na sio chama.
 
unajua unazidi kujiabisha hapa jukwaani kwa namna ulivo na ufinyu wa kuchanganua mambo.
1.Wewe ni CCM pamoja na Jumanne na Anne Mnajulikana sasa iweje leo uanze kutupangia mgombea wa urais(2015-Zitto)
2.Ndani ya CHADEMA una wadhifa gani au influence gani ya kuanza kuzungumzia uchaguzi na uteuzi wa mgombea wa chadema huku ukiacha kuongelea na makundi yanayojengeka ndani ya ccm na uchaguzi uliopita wa ccm ambao zaidi ya 80% walichaguliwa kwa rushwa na hata kura za mwenyekiti wako zilichakachuliwa ili aisiabike?
3.Kwa kichwa chako cha panzi chenye big empty space na chembechembe chache sana za ubongo unaweza kujifanisha na Dr. Slaa?au unaweza kumfananisha Dr. na magamba ambao bila rushwa na kutumia nguvu za dola na rasimali za umma hawawezi kushinda hata uenyekiti wa kijiji?
4.Unasahau CHADEMA mgombea anapatikana kwa demokrasia, hivo kama wanachama kwa kauli moja wakampitisha Dr.Slaa kuwa mbeba bendera wa chama 2015 unaita tusi? una akili kweli wewe au unaanza kupata wehu??
5.Unasema eti Dr.Slaa amegombea mara nyingi na Mbowe amegombea mara nyingi kama upo sawa mentally hebu taja hizo mara nyingi alizogombea Slaa na Mbowe uniwekee na miaka kabisa
6.Hoja zinazoletwa na CHADEMA kama katiba mpya.,kumuondoa mtanzania kwenye nyumba za tembe(zimejaa sana Dodoma kwenu huko) elimu ya sekondari kuwa bure, kuboresha, afya,barabara, maji safi, kilimo, ajira n.k wahalifu wote wa epa, deep green, meremeta, radar, ndege ya rais, mabilion ya uswis n.k kufikishwa mahakamani ndio unaita hoja mfu? wewe ndio una mawazo mfu!

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona angalau ndani ya ccm unaweza kujenga hoja lakini kwa siku za karibuni nimekuwa nafuatilia kwa karibu hoja zako hasa kuhusu CHADEMA ile heshima nimeiondoa rasmi kuanzia sasa, you are a mere Tabula rasa hujui unachoongea na pia unaonyesha una tamaa ya madaraka(like father like son) ndio maana kila nafasi inayotokea unakimbilia! kumbuka ulishaanza kuchombeza utagombea segerea wakati mahanga kesi yake haijamuliwa. Punguza Tamaa za madaraka na unapoandika kitu kwa ajili ya jamii forum shirikisha na hizo chembechembe chache za ubongo ulizo nazo!
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!



Dah! nilikuwa nakuheshimu kwl kwl, ila jinsi ulivyo andika hii tread mh!!!!!!!!!!!!! kuwa kila akigombea anashindwa na baada ya kushindwa sana chaguzi mbali mbali mtu huyo huyo agombee tena......aliwai kugombea mara ngapi na kushindwa sana? mnakosa rahaa ninyi CCM kila mkisiki dr.
 
Slaa aligombea mara moja na alishindwa kwa kuibiwa kura, hiyo mara nyingi imetoka wapi
 
Jenga hoja wewe lukunguru mambo ya wazazi yametoka wapi halafu hii dhana ya Pro-Chadema JF, ya kutukana wazazi wa wenzenu sijui imetoka wapi. Mnamchokoza Le Mutuz akianza kuwachana wote mtaanza kulia lia.

Sio les mutuz tu hata wewe msukule wa lumumba ukija na maneno mbofumbofu ninakuchana tu mimi huwa simuonei aibu gamba yoyote.
 
Wasiokuwa na jipya ni CCM iliyoamua kuongozwa na wazee wastaafu ama CDM inayowanyima usingizi CCM?
 
Teh teh teh

CCM Online Hoes kweli wameamua. By the way niko hapa Nafurahia

1. HOJA NZITO,
2. HOJA MAWE,
3. HOJA MUJARABU
4. HOJA ZILIZOSIMAMA
5. HOJA ZINAZOFIKIRISHA
6. HOJA ZISIZOJIBIKA

Kutoka kwa Majembe ya CCM Online
Natumai Hata Mwenyekiti wetu yuko State House anafuatilia jinsi wawakilishi wetu wa ONLINE wanavyorusha Hoja Mujarabu, Hakika Mwenyekiti anasuuzwa na Kukongwa na Roho na Wawakilishi wetu wa CCM Online

CCM Online Hoes (Majembe) Keep it Up
 
Hivi hili puto limerudi lini jf mbona lilitangaza kwa mbwembwe kwamba limejitoa jf.
 
hakuwa Engineer wa meli alikuwa kuli huoni hata kichwa kilivokaa cha kubeba mizigo?

Katika engineering field, huwezi kuwa engineer kwa elimu ya diploma, sasa hapo ndipo uone huyu akili matope alivyounga unga shule (vyuo vya kata a.ka. polisi jamii nchini marekani).

Ili mtu awe engineer ni lazima awe na degree katika fani za engineering. Sasa ushangae huyu mchovu anajiita engineer wa meli wakati alikuwa anafanya kazi ya udereva wa magari ya taka nchini marekani.
 
kaka nimeshangazwa sana jinsi siku za karibuni unavyojibu hoja hapa jamvini.hebu jichunguze vizuri na ikiwezekana utafute ushauri wa kisaikologia..ni kama vile umeshuka sana viwango, na umeishiwa hoja kabisa umebaki tu kuimba taarabu na kupiga vijembe.hivi tutakutofautishaje wewe na mtoto wa chini ya miaka kumi na nane?
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Dungu W.J. Malecela, katika yote hayo nashukuru sana umelewa swali langu kwamba
Nani kakutangaza kuwa wewe ni The King Of All bongo Social Media Network?
Kwa vigezo gani?
Sasa naona umeondoa The King Of All bongo Social Media Network. Kumbe unafundishika mkubwa.
 
kaka nimeshangazwa sana jinsi siku za karibuni unavyojibu hoja hapa jamvini.hebu jichunguze vizuri na ikiwezekana utafute ushauri wa kisaikologia..ni kama vile umeshuka sana viwango, na umeishiwa hoja kabisa umebaki tu kuimba taarabu na kupiga vijembe.hivi tutakutofautishaje wewe na mtoto wa chini ya miaka kumi na nane?

Kesha kuwa jina lako mkubwa.
 
Alizungusha mkuu wala halina ubishi hilo.
Kwakuwa tu wakati huo mzee malecela alikuwa kwenye system ndo akamfanyia mishe akingia chuo cha DMI na baadae akampeleka ulaya na marekani akajiunga na vyuo vya kata vya huko, ndipo akasomea udereva wa magari ya taka, kazi aliyokuwa akiifanya US kwa zaidi ya miaka 20 hadi anarudi nyumbani.

Angekuwa amesoma vyuo vya kueleweka hangetelekeza mke na watoto huko US lakini pia aliporudi hapa nyumbani asingeishia kuwa kula kulala, anaishi kwa mzee tingatinga na kumdhulumu pensheni yake.

Lakini CCM itamtoa tu, hatuwezi kumtupa mtoto wa "MWENZETU"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom