Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
Alipokuwa anaomba kura MBOWE alikuwa rafiki leo MBOWE kawa katibu kata
tunamtaka baba ko agombee.harafu mambo yasiyokuhusu unakaa ukuyafikilia ili upate nini????- well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, dr. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!
- mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana chadema, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, walimtegemea sana waziri wa ccm sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?
Chadema mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na ccm, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible ccm ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!
Ni ushauri wa bure tu jamani!!
mwili mkubwa akili kama sisimizi,kweli kazi ipo.alipokuwa anaomba kura mbowe alikuwa rafiki leo mbowe kawa katibu kata
![]()
alikuwa mke wa mzee charles nyange.-
mkuu nadhani kila mtu anaheshimu mawazo yako ila sijui kwa nini argument zako zinakuwa personal attacks especially kwa dokta slaa. Unaongelea Dr slaa kuiba mke wa mwananchi lakini unashindwa kutuambia huyu mama yako wa sasa babako alimtoa wapi kwa sababu sidhani kama maisha yake yote hakuolewa mpaka kuolewa na babako uzeeni. Tuambia ana kilango baba yako alimuiba wapi?
Tetea mfumo wa kifisadi unaowaweka wewe na familia yako mjini mkuu umekaa marekani lakini ni uko tupu kichwani.Wewe ni kiongozi wa wenye akili za samaki tuu.- Yaani hii ndio maana ya The King Of All bongo Network Social Media, na big celeb yaani unanijua mpaka shule niliyosoma mimi sikuji wala sijui umesoma wapi, unaona siku moja nilikuwa nahojiwa na National TV najadili mambo mazito ya taifa, mtangazaji akasema ngoja tuangalie maswali toka JF, maswali yote kwa nini umetoka JF Tafadhali rudi bwana, sasa nimerudi maana ilianza kuwa kero hata nikiwa kenye starehe maswali ya JF,
- So now here I am wanajikanyaga! kanyaga! wewe unafikiri mimi nimesoma Degree ya kwanza toka 1990 mpaka leo na bado sijamaliza? I mean huna aibu unatetea mediocre! chama cha mediocre tupu!!
Le Mutuz!!
Kama angekuwa na akili angezaa toto sio riziki?mbona na mama'ake alipigwa mtungo moro haji kutuanikia hapa???Afiche upumbavu wake tafadhali......babake ana akili aisee,hawezi kupokea ushauri kutoka kwenye box,
Njaa mbaya kubwa jinga hapa lilitoka kukimbia familiaAlipokuwa anaomba kura MBOWE alikuwa rafiki leo MBOWE kawa katibu kata
![]()
Bora yeye hajamaliza kuliko wewe uliyemaliza na kupata zero kwiro sekondari.
Mkuu ni bora mwanawasha kuliko hili PUTO..Mwita Malanya,
Naomba ufafanuzi kama hutojari, kati ya Le Mutuz(tikiti maji) na Mwanahasha, ni yupi alipasua zaidi ya mwenzie!!?
Dah!! Na ubonge wote huo mshikaji alizungusha!!?
Le Mutuz ebu kanusha bwana noma hii, utakosa hata wa kupiga nao pics Mzee!! Unadhani nani atakubali kujiaibisha kwa Maziro uliyojitwisha!!?
Kama angekuwa na akili angezaa toto sio riziki?mbona na mama'ake alipigwa mtungo moro haji kutuanikia hapa???Afiche upumbavu wake tafadhali......
Yupo. Anatafakari ile picha ya JSM na wazungu wale mmeipata wapi?Kakimbia..?
Mkuu ni bora mwanawasha kuliko hili PUTO..
Mkuu nimekupa LIKE....kwa kweli uko sahihi kabisa tumbo kubwaaaaaaaaaaa kama mzee wa gombe,hata yule mwenyekiti wa UWT si nasikia ni chakula ya wazee kila mtu anajibondea anapata kid ndo maana yanakuwa na kiburi....tehe tehe teheeemimba ya hili toto haikupatikana kwa njia ya kawaida. halafu inasemekana wasira (a.k.a tyson) aliingilia kati nyumba ya watu, huoni wanafanana?
[
mkuu nadhani kila mtu anaheshimu mawazo yako ila sijui kwa nini argument zako zinakuwa personal attacks especially kwa dokta slaa. Unaongelea Dr slaa kuiba mke wa mwananchi lakini unashindwa kutuambia huyu mama yako wa sasa babako alimtoa wapi kwa sababu sidhani kama maisha yake yote hakuolewa mpaka kuolewa na babako uzeeni. Tuambia ana kilango baba yako alimuiba wapi?