Baba yako na ccm yenu ndio wametufikisha hapa tulipo. Ulidhani ukirudi bongo utapata kacheo lakini kila mara unaangukia pua. Unaona wenzako wenye vyeti vya kweli akina Shayo walirudi na wakagombea wakashindwa lakini wamepewa uboard member maana michango yao itasaidia sana sio wewe kilaza mwenye elimu ya kuungaunga. Baba yako kakaa madarakani mpaka kazeeka hata barabara ya kwenda kwenu kashindwa kaishia kubadiri dini ila Nyerere alimkomesha. Achana na Chadema hawaitaji ushauri wako kama kweli wewe una nia njema washauri ccm kuhusu rushwa, kuiba kura na kutorosha pesa nje ya nchi. Najua hata wewe zimekusaidia kukulipia nauli ya kurudi toka marekani. Utakuwa lini? ndio maana huna familia kubwa jinga.Change your thoughts and you can change your world.