CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Huwa nashangaa sana wanaokutukana humu ndani, lakini leo naanza kupata jibu.

- Si ndio sera ya chama chenu matusi, lakini ni mikwara tu ya kuficha umediocre ndio maana hapa hatujali matusi yenu tunawapiga kwa lugha mnayoijua zaidi, majitu mazima na akili timamu mnatetea mediocre eti kwani amegombea mara ngapi so what? Huyo amegombea na kushindwa Urais wananchi wamemkataa hana jipya, kwenye Udiwani wananchi wamemkataa hana jipya sasa kwa vile nyi eni mediocre mnataka kumpa tena kugombea Urais ndio maana mnalia sana,

- Well, Slaa hafai kabisa hata kuwa katibu wa kata, hafaii kwa sababu kwanza ni Muongo na pili hana maadili!!

Le Mutuz!!
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba Chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko Chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana Chadema, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

Chadema mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

KICHAAA KIMEMPANDA JEE JELLII,,,BAADAA YA KUVUTA MINE NERIII,,
WENGI WANASEMA KALOGWA NA JIRANI,,KUMBE MIBANGE IMEMPANDA KICHWANII,,,

KICHAA,,KIMEMPANDEJEE,,

MALECELA KAMA NI MFUATILIAJI WA NYIMBO ZA HAWA VIJANA WA KISASA,KAUTAFUTE HUO WIMBO KISHA UUZINGATIE UJUMBE WAKE

KUNA USHAURI MURUA KABISA UTAKAOKUFAA...

:bounce: :laugh:

Sikujua kuwa ilikuwa big insult kwa mdingi wako kupigwa chini wakati anawania nafasi ya urais. Inaelekea Chadema inakunyima sana usingizi kila ukipost siku hizi hapa JF lazima uizungumzie Chadema na Dr.Slaa, vipi wamekukamata sehemu mbaya nini?

Big Show Le Mutuz sea mela.
Kaleta uzi watu wajadili kwa hoja wewe unaingiza stori za baba yake, Le mutuz akianza kumchana Dr Slaa wote mnakimbilia kwa mods.
 
Well, Slaa hafai kabisa hata kuwa katibu wa kata, hafaii kwa sababu kwanza ni Muongo na pili hana maadili!!Le Mutuz!!

Wewe sasa unataka uchanwe chanwe hapa pamoja na baba na "mama" yako hapa.........

bear_family_2_300.jpg
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!

Nadhani Ubongo wako una matatizo mahali.
Ni aibu kwa Mtu mzima kama wewe kuposti Utumbo kama huo.Na zaidi unamdhalilisha baba yako kwa kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiri pamoja na jitihada za mzee kukusomesha.
Naanza kupata shaka kubwa sana na Uwezo wako wa kufikiri kama umeathiriwa na Moshi au walikuvutisha ile Kitu!

Bora yeye hajamaliza kuliko wewe uliyemaliza na kupata zero kwiro sekondari.

- Yaani hii ndio maana ya The King Of All bongo Network Social Media, na big celeb yaani unanijua mpaka shule niliyosoma mimi sikuji wala sijui umesoma wapi, unaona siku moja nilikuwa nahojiwa na National TV najadili mambo mazito ya taifa, mtangazaji akasema ngoja tuangalie maswali toka JF, maswali yote kwa nini umetoka JF Tafadhali rudi bwana, sasa nimerudi maana ilianza kuwa kero hata nikiwa kenye starehe maswali ya JF,

- So now here I am wanajikanyaga! kanyaga! wewe unafikiri mimi nimesoma Degree ya kwanza toka 1990 mpaka leo na bado sijamaliza? I mean huna aibu unatetea mediocre! chama cha mediocre tupu!!

Le Mutuz!!
 
Halafu unataka kumjua mgombea Urais wa CDM, kwani huyo wa ccm ameshajulikana? Tujuze basi blaza.
Halafu tena, kwani ile Tume ya uchaguzi imeshatoa tangazo la kuwasilisha majina kwake? Ukitaka kumjua mgombea Urais wa CDM subiri muda ukifika utaambiwa tu.
 
lohhh, mkuu willy, nilifikiri matusi yanasemwa waziwazi siku hizi na si ya kutafuta.

Karume juzijuzi kasema moja kali sana hadi naambiwa kuwa zenji picha zake zimenyofolewa mjini.

ccm-samaki.jpg

picha kwa hisani ya: Uhuni Wa Kisonge na CCM | Mzalendo.net
kwi kwi kwi! U have completed my day! Hilo domo si bure linakula mapesaaaa, limekwiba kila angle na bado halishibi!! Na hicho kichwa humo ndani, kuna ubongo au urojo???
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!

Mkuu Willy ficha upumbavu wako onesha busara kidogo. Hoja uliyoileta ni nzuri sana na ingenogesha mjadala lakini unaichanganya na upumbavu wako. Nilikuwa nafikiria kufuta kauli yangu ya wewe ni HASARA lakini bado nairejea tena.Nisamehe.Ungepunguza upumbavu na unazi kwenye hoja ingawa pro CDM (Wasio makini) wangekuponda lakini ingenogesha mjadala sana na ni wakati wake
 
- Yaani hii ndio maana ya The King Of All bongo Network Social Media, na big celeb yaani unanijua mpaka shule niliyosoma mimi sikuji wala sijui umesoma wapi, unaona siku moja nilikuwa nahojiwa na National TV najadili mambo mazito ya taifa, mtangazaji akasema ngoja tuangalie maswali toka JF, maswali yote kwa nini umetoka JF Tafadhali rudi bwana, sasa nimerudi maana ilianza kuwa kero hata nikiwa kenye starehe maswali ya JF,

- So now here I am wanajikanyaga! kanyaga! wewe unafikiri mimi nimesoma Degree ya kwanza toka 1990 mpaka leo na bado sijamaliza? I mean huna aibu unatetea mediocre! chama cha mediocre tupu!!

Le Mutuz!!

NA KUHUSU YAI ULILOTAGA JEE??

AU NALO PIA NI ISHARA YA UCELEB,,PIA??

:madgrin: :madgrin:
 
Huu unaouita ushauri uende ukamshauri baba yako, ndiye utakayemfaa.

Jenga hoja wewe lukunguru mambo ya wazazi yametoka wapi halafu hii dhana ya Pro-Chadema JF, ya kutukana wazazi wa wenzenu sijui imetoka wapi. Mnamchokoza Le Mutuz akianza kuwachana wote mtaanza kulia lia.
 
- Si ndio sera ya chama chenu matusi, lakini ni mikwara tu ya kuficha umediocre ndio maana hapa hatujali matusi yenu tunawapiga kwa lugha mnayoijua zaidi, majitu mazima na akili timamu mnatetea mediocre eti kwani amegombea mara ngapi so what? Huyo amegombea na kushindwa Urais wananchi wamemkataa hana jipya, kwenye Udiwani wananchi wamemkataa hana jipya sasa kwa vile nyi eni mediocre mnataka kumpa tena kugombea Urais ndio maana mnalia sana,

- Well, Slaa hafai kabisa hata kuwa katibu wa kata, hafaii kwa sababu kwanza ni Muongo na pili hana maadili!!

Le Mutuz!!

Kweli CCM imepata wapiganaji.
 
Cdm wanasubiri makapi ya ccm natabiri robo tatu ya wabunge wachache itakaopata 2015 watakuwa wale waliotemwa na ccm kwenye kura za maoni
 
- Yaani hii ndio maana ya The King Of All bongo Network Social Media, na big celeb yaani unanijua mpaka shule niliyosoma mimi sikuji wala sijui umesoma wapi, unaona siku moja nilikuwa nahojiwa na National TV najadili mambo mazito ya taifa, mtangazaji akasema ngoja tuangalie maswali toka JF, maswali yote kwa nini umetoka JF Tafadhali rudi bwana, sasa nimerudi maana ilianza kuwa kero hata nikiwa kenye starehe maswali ya JF,

- So now here I am wanajikanyaga! kanyaga! wewe unafikiri mimi nimesoma Degree ya kwanza toka 1990 mpaka leo na bado sijamaliza? I mean huna aibu unatetea mediocre! chama cha mediocre tupu!!

Le Mutuz!!

loh umeshindwa kusema kwa nini ulipata ziro yaani masikio duh, ndo maana unaandika upumpumpu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom