CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Sikutaka kuchangia upuuzi wako ila inabidi nikueleze,wewe unachanganya siasa na uongozaji wa meli na mashua! Nani alikuambia Dr alishindwa? Alishagombea urais mara ngapi? Muulize uncle wako dhaifu mziki wa Dr. wewe hauijui Tanzania,waachie wanaoijua. Unatupigia kelele eti ushauri mshauri yule mzee alieshindwa ubunge Mtera agombee na Dr na wewe uwe mgombea mwenza uone nani aliezoea kushindwa ni nani! Kawashauri cc hem wamweke kuwa mgombea urais mke wa tingatinga ndo pekee anafaa kwa cc hem!
 
TBag Hatari alikuambia utakimbia na ukamuona Kama mjinga vile....sasa uko wapi? Si umekimbia?
Mwangalie bichwa Kama barungi!!!? Lijitu lizima lakini unaaakili kama bweha....ovyooooo nyooooo
 
Hivi hili puto limerudi lini jf mbona lilitangaza kwa mbwembwe kwamba limejitoa jf.
 
huyu mgogo anahangaika sana na CDM ... Chadema haimiliki mabucha
 
hakuwa Engineer wa meli alikuwa kuli huoni hata kichwa kilivokaa cha kubeba mizigo?

Halafu munaotoka USA munakuwa mmenunuliwa tayari kuja kuharibu nchi yetu kwa ajili ya mabebepari ya Kimarekani. Naomba TISS wafuatilie nyendo za huyu jamaa kabla hajafika mbali. Wapi alisoma, alikutana na nani na lengo la kuingia kwenye siasa za Tanzania kwa nguvu sana.
 
huu upuuzi umewazaje kufika page ya kumi?
 
Boy Boy Boy !!! Pengine ulikuwa bado uko kwenye Nepi by then. One thing that cost your father the Premiership in Mwalimu's days was celebrating before having the actual prize in the palms. Mwinyi akamsaidia kumpa huo u PM, siyo based on merit, bali kukomoa JS Warioba, But it did not las coz this time round alidandia hoja ya Serikali ya Tanganyika. Akajaribu Urais, na msemo wake maarufu, " Hatuendi ikulu kubeba zege" kwa Mizengwe ya JK na Mtandao akabaki hana kitu, akapewa Uwenyekiti wa CCM, Hoja za Kilango zikamponza, Jimboni kwake Mtera akaletwa Bwana Matusi "kudadeki Lusinde akaachwa. Kilango juzi Chini and Out , yuko kimya!! My take ni kuwa umekabidhiwa Kijiti ambacho hakina prospects ya kushinda chochote, na hii zeal yako mpya, unajaribu kuonyesha kuwa na we upo. I can assure you kwamba, wewe ni msindikizaji, na kwa bahati mbaya sana as you say, " You are on the right track " on your way out. Very good analysis. We kalagabaho!! The Kikwete's wanapeta we kazi kujipachika majina yanayaonyesha your real IQ. Empty vessel make the most noise, I am sure you are one such vessel.
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Hata wale wanaochangia thread za huyu bwana nawaweka group moja naye......kwamba wote ni WAKUBWA MAUMBO TU, AKILI HAMNA. Haiwezekani ***** kama huu watu lundo, mnaacha thread za maana kule

huu upuuzi umewazaje kufika page ya kumi?
 
Halafu munaotoka USA munakuwa mmenunuliwa tayari kuja kuharibu nchi yetu kwa ajili ya mabebepari ya Kimarekani. Naomba TISS wafuatilie nyendo za huyu jamaa kabla hajafika mbali. Wapi alisoma, alikutana na nani na lengo la kuingia kwenye siasa za Tanzania kwa nguvu sana.

Umeenda mbali mno mkuu.Yaani TISS ifanye kazi kwa ajili ya Le Mutuz.Wewe muulize US alienda kufanya nini na ALIKUWA ANAFANYA KAZI GANI.Mbali ya yote eti mtoto wa Makamu wa rais na waziri mkuu mstaafu anakuwa "bodaboda" airport.Ni aibu.Wewe Willy aka Bill na mwenzio Mungai mnaibisha sana baba zenu huko US
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

.......kutoka kwa mwana-ccm?? what's a catch?
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

-
Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Modz naombeni sana matusi yaruhusiwe kwenye uzi wowote utakaoanzisha na huyu Fat Joe..........tulianzishe
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
Hey, hatuhitaji kichwa cha panzi katika hili, washauri akina Kinane.
 
Umeenda mbali mno mkuu.Yaani TISS ifanye kazi kwa ajili ya Le Mutuz.Wewe muulize US alienda kufanya nini na ALIKUWA ANAFANYA KAZI GANI.Mbali ya yote eti mtoto wa Makamu wa rais na waziri mkuu mstaafu anakuwa "bodaboda" airport.Ni aibu.Wewe Willy aka Bill na mwenzio Mungai mnaibisha sana baba zenu huko US
Duuhhh, wenzake tunaenda kufanya kazi professional yeye Boda boda. Si angekaa hapa akafanya miradi ya Chipsi.
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Ww huna jipya umeshakuwa makapi ya ccmafisi. Slaa amegombea urais mara ngapi ndani ya CDM au chama kingine chochote cha siasa. Naona ukisha kuwa katika chama cha ccmafisi unasahau kumbuka Mwinyi, Mkapa na Kikwete waligombea mara ngapi?. Ss kuna lipi baya Slaa akigombea tena kwa mara ya pili. Kwa vile wamefunga ndoa na Cuf anashindwa kuwasema (Lipumba) matokeo yake anakimbilia CDM. Kwa mawazo yangu nilifikiria huyu jamaa kaelemika kwa vile ameishi ulaya na kuona maendeleo ya wenzetu kumbe ni pumba tupu. Kweli babake alipoteza pesa za walalahoi kumpeleka ulaya. Pumba kabisa
 
Le Mutuz kagombea ubunge EA kaangukia pua Big insult,kagombea NEC kaangukia pua big insult ha ha ha ha ha Le Mutuz anapenda hoja nyepesi nyepesi ha ha ha ha ha ha.
 
Hivi Baba yako alikuwa waziri kwa muda gani tena! Nadhani hakufikisha miaka mi 4 Nyerere akamchinjia baharini!
Akaendelea na ubunge wakati wenzake walistaafu!
 
Alipokuwa anaomba kura MBOWE alikuwa rafiki leo MBOWE kawa katibu kata
freeman.jpg

bado hajapata shavu, mwili ka Komba! Je akipata?
 
Mimi siko ccm wala cdm ila nionacho ni kuwa hoja yako ni nyepesi sana kwa kipindi hiki. Umetaja kuwa ccm wako wengi tu credible lakini hujawataja ila upande wa pili umeamua kabisa kuwachagulia...."Great thinker"!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom