CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
- Mbona huulizi nimeshinda ngapi na nimegombea Urais mara ngapi? ha! ha! ha! ha! halafu useme Mbowe na Slaa wamegombea Urias mara ngapi na wameshinda mara ngapi? ha1 ha! ha!

Le Mutuz!!
Samahani W. J. Malecela najua hili ni suala personal kidogo, naomba kujua Umri wako plz ni-Pm ili nifanye maamuzi kama niendelee kusoma posts zako au la, maana nikikuangalia naona kama ni mtu mzima
 
Last edited by a moderator:
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!
@W.J.Malecela acha ushamba na kama hujui siasa za maana ni vema ukarudi kwenye mvumi ukavune ubuyu.Jibu maswali ya wadau,Malecela Snr aligombea mara ngapi na kutupwa kapuni pamoja na kupokea mulangula kutoka kwa Fisadi Patel zaidi ya 500 TZS milioni kusaidia kampeni according to Sofia Simba?.Pia Mzee Malecela alishindwa ku perform na kufukuzwa uwaziri mkuu hakujiuzulu kama unavyotamba hapa, fuatilia sakata lake na G.55 akiwa ofisini wakati huo mwalimu Nyerere akiwa bado anatulindia tanzania yetu dhidi ya mafisadi.Wewe uanapata nguvu za kuandika humu kwa kuwa una masalio ya ufisadi na unajitahidi kuyatumikia.Katiba mpya tutaweka kipengere kuhakikisha viongozi wanaofadika na sheria ya mafao wasipomaliza kipndi cha miaka mitano au kutolewa kwa kashifa kama ambavyo Malecela snr na Lowasa walivyotimuliwa hawanufaiki na sheria hiyo mara moja.U and ur snr belongs to group of total failures.
 
ulivyo kichwa maji huelewi hata nini unachokiandika. Unaweza kutambia dr slaa amebombea chaguzi zipi na akashindwa?
 
- Si ndio sera ya chama chenu matusi, lakini ni mikwara tu ya kuficha umediocre ndio maana hapa hatujali matusi yenu tunawapiga kwa lugha mnayoijua zaidi, majitu mazima na akili timamu mnatetea mediocre eti kwani amegombea mara ngapi so what? Huyo amegombea na kushindwa Urais wananchi wamemkataa hana jipya, kwenye Udiwani wananchi wamemkataa hana jipya sasa kwa vile nyi eni mediocre mnataka kumpa tena kugombea Urais ndio maana mnalia sana,

- Well, Slaa hafai kabisa hata kuwa katibu wa kata, hafaii kwa sababu kwanza ni Muongo na pili hana maadili!!

Le Mutuz!!

nimeona mengi lakini hili limenigusa zaidi, kweli slaa hana maadili, mkuu wewe nakuaminia, uadilifu wako na maadili uliyonayo yametamalaki kwa watanzania, usiache kuchukua form ya kugombea urais mkuu, umri unaruhusu...
uwoooooo! ... kwei kabisa dashi dashi hejikiteia... copy to Elli
 
Last edited by a moderator:
Hapa Tanzania kuna makabila ambayo husemekana ni wavivu sana. Moja ya makabila hayo ni pamoja na Watu wa Pwani na Wagogo. Mimi nilidhani dhana hii ni ya uzushi. Pia nilidhani watu hawa ni wavivu wa kufanya kazi za mikono tu, leo nimegundua kumbe ni wavivu wa kufikiri pia. Kama sikosei wewe unatoka kabila la kanda ya kati. Kabila linalotoa omba omba wengi. Unataka kuwa omba omba wa kufikiri pia?
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!
W. J. Malecela Nikiangalia umri wako na unachokiandika nashindwa kuelewa kama siasa ziko hivi.. Nikirudi kwenye huu uzi wako ladba jf iwe ipo hii thread peke yake.
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
W. J. Malecela, umeamini kuwa Zitto anaweza kuwaangusha mafisadi wa CCM au umeona ni kwamba ataangushwa kwa urahisi na mafisadi hao. Nini msimamo wako?
 
Kwa mtu mzima kama ww hustahili kutoa comments kama hizo! Chama hakiwezi kutegemea watu wawili uliowataja kugombea uraisi. Hata hivyo kampeni yenu ya kumpendekeza Zito ambaye ni pandikizi lenu kugombea uraisi kupitia CHADEMA haliwezi kufanikiwa kamwe kwani hiki ni Chama makini.
 
@W.J.Malecela acha ushamba na kama hujui siasa za maana ni vema ukarudi kwenye mvumi ukavune ubuyu.Jibu maswali ya wadau,Malecela Snr aligombea mara ngapi na kutupwa kapuni pamoja na kupokea mulangula kutoka kwa Fisadi Patel zaidi ya 500 TZS milioni kusaidia kampeni according to Sofia Simba?.Pia Mzee Malecela alishindwa ku perform na kufukuzwa uwaziri mkuu hakujiuzulu kama unavyotamba hapa, fuatilia sakata lake na G.55 akiwa ofisini wakati huo mwalimu Nyerere akiwa bado anatulindia tanzania yetu dhidi ya mafisadi.Wewe uanapata nguvu za kuandika humu kwa kuwa una masalio ya ufisadi na unajitahidi kuyatumikia.Katiba mpya tutaweka kipengere kuhakikisha viongozi wanaofadika na sheria ya mafao wasipomaliza kipndi cha miaka mitano au kutolewa kwa kashifa kama ambavyo Malecela snr na Lowasa walivyotimuliwa hawanufaiki na sheria hiyo mara moja.U and ur snr belongs to group of total failures.
Miongoni mwa hizi pesa mama ake aliporwa kama 200milioni pale morogoro na isitoshe wakala "KITU" ya baba ake.....abishe!!!!
 
kuna mtu kaiba password yake au ni yeye!!?
mbona nchi nyingine zinawategemea sana hawa wazee wa 'diaspora', sisi tz tuna mkosi gani jamani!?

Mi na wasiwasi wengine wanatuzuga tu kwamba walikuwa wanasoma,usikute walikuwa wanabeba box tu huko
Maana akili kama hizi ni hatari kwa taifa letu na hapo usikute hata bangi hatumii lol!
 
Hivi unategemea mwanahasha pamoja na kuzungusha anaweza kuzidiwa na lemutz? Huyu jamaa hakuna kitu kichwani!

Mwita Malanya,

Naomba ufafanuzi kama hutojari, kati ya Le Mutuz(tikiti maji) na Mwanahasha, ni yupi alipasua zaidi ya mwenzie!!?

Dah!! Na ubonge wote huo mshikaji alizungusha!!?

Le Mutuz ebu kanusha bwana noma hii, utakosa hata wa kupiga nao pics Mzee!! Unadhani nani atakubali kujiaibisha kwa Maziro uliyojitwisha!!?
 
Sikujua kuwa ilikuwa big insult kwa mdingi wako kupigwa chini wakati anawania nafasi ya urais. Inaelekea Chadema inakunyima sana usingizi kila ukipost siku hizi hapa JF lazima uizungumzie Chadema na Dr.Slaa, vipi wamekukamata sehemu mbaya nini?

Walimuomba rushwa kipindi anagombea Ubunge wa Afrika Mashariki.
 
Samahani W. J. Malecela najua hili ni suala personal kidogo, naomba kujua Umri wako plz ni-Pm ili nifanye maamuzi kama niendelee kusoma posts zako au la, maana nikikuangalia naona kama ni mtu mzima

huyu ni above 51,nimeishi ulaya na amerika zaidi ya miaka 30 hahahaha king wa social network my fut
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ni genius. Sasa naanza kuona mabadiliko ya CCM kwa kiwango kikubwa sana. Hongera. kwa mtaji huu unapaswa kugombea nawe urais ili tuone.
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

bro willy yani usiondoke hapa jf make unakamilisha ule msemo wa mji bila vichaa haujakamilika, we ndio likichaa letu apa jf kwa jinsi unavyotoa mikamasi ovyo bila kujali umri wako wa miaka53
 
- Duh! Great Thinker! Mimi ni Kiongozi wa Taifa bro huwa siongei lugha kama hizi za ulevini so pole sana, hoja yngu ni kwamba Chadema hamna mgombea wa Urais 2015, wewe hoja yako ni nini cause sijaiona so far!!

Le Mutuz!!
Mkuu wewe ni kiongozi wa kitaifa unachekesha kweli hata elimu ya uraia hujui
vIONGOZI WA KITAIFA wanajulikuna braza zero jaribu kurudi darasani unaweza kupata abc, wewe na Mulugo mnaweza kuwa sawa kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.Kuwa katibu mwenezi wa kata ni cheo cha uchochorini au uwakilishi ni nonsense hata protocal ya wauza rubisi na mbege haujulikani. keep quite yu cockroach.
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Nakubaliana na mwanaJF mmoja aliyemsikitikia mzee Malecela na kusema wakati wenzake wamezaa binadamu yeye alizaa kituko.
Hivi kweli mtu kama huyu anaweza kusimama mbele ya watu na kujiita yeye ni mwanaume?
 
52 kwa mujibu wa taarifa za CCM wakati akigombea

Kama hili ni la kweli, basi ngoja nisiendelee ku-comment nisije onekana kama sina adabu kwa huyu mtu anayepishana mwaka mmoja na Baba yangu mzazi kiumri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom