CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

PrN I salute U,leo ulikuwa unaongea vitu vya msingi sana hiki ni kimojawapo,nilipomuona Gumbo nilikata tamaa kabisa ya upande wa kulia na ndo kilichotokea,hadi anatoka mimi sikuona amefanya nn?...

pamoja sana mkuu: kwakweli Gumbo huwa namchukulia kama homa ya vipindi mara joto mara baridi, akiwa uwanjani uwezi kujiaminisha 100% kwamba una bonge la mchezaji ''No''.
 
hongera watani tunawasubiri fainali kama mtavuka nusu

Mkuu, usinunue mbereko na mtoto hajazaliwa. Hata nusu wewe hujaingia unawaza fainali, timu yenyewe ndiyo hiyo.

Naweka kando utani wetu nawaombea sana muwatoe Azam, nitakuwa mwenye furaha sana hili likitimia hapo kesho. Kazeni buti muwaondoshe bila ushindi kama vile Tusker na Mafunzo walivyoondoka.

Eti Azam timu nzuri, kwa lipi? Simba funga hazo Azam hapo kesho wakaoke mikate yenye fungus na wakasage juice kueneza typhoid kwa watumiaji.
 
Leo kama watafika penati zitarudiwa rudiwa kama mwaka jana, haya mashindano ya kutegemea gate collection.

Mkuu nimedhihirisha uoga wako wa kutotaka kukutana na sisi kwenye Kagame hii,mnataka mkiwa mnaendelea kuchangia hapa JF muendelee kutumi ile avator ya score board ya 5 - 0,unajua tukikutana ile itakuwa outdated....usijali lkn hata ukivuka kesho kwa maswaiba zenu utakuwa bado una kimbembe cha kukutana na Atletico au AS Vita na ule ndo utakuwa mwisho wenu rasmi,kwahiyo punguza dua mbaya kwetu kwa kiwango chenu cha sasa hv hakuna matarajio ya kukutana na sisi.
 
Bado kuna ya 6-0...na kwenye michuano hii, kumkumbu iliyoko ni kukimbiza timu...
 
Mkuu nimedhihirisha uoga wako wa kutotaka kukutana na sisi kwenye Kagame hii,mnataka mkiwa mnaendelea kuchangia hapa JF muendelee kutumi ile avator ya score board ya 5 - 0,unajua tukikutana ile itakuwa outdated....usijali lkn hata ukivuka kesho kwa maswaiba zenu utakuwa bado una kimbembe cha kukutana na Atletico au AS Vita na ule ndo utakuwa mwisho wenu rasmi,kwahiyo punguza dua mbaya kwetu kwa kiwango chenu cha sasa hv hakuna matarajio ya kukutana na sisi.

mkuu maneno yako makali, especially hii sentensi ya mwisho duh!, ila naamini kunzia mechi ya kesho zidi ya Azam hadithi itakuwa nyingine.
 
Kwani naongopa Kiongozi,wee fikiria hii safari.......Vs Azam(sawa hawa Maswahiba wenu,mara nyingi mnawaoteaga) lkn after that ....Vs Attletico au As Vita (wale-walee) unafikiri hiyo ni safari ya tambarare? hivyo ni vichuguu na milima tupu.
 
matokeo si ya kujivunia kwa wanayanga mafunzo kawatoa jasho

Kilio cha fisi hichi!
Spain (mabingwa wa dunia na ulaya) wamechukua kombe tena la Ulaya. Unajua semi-final walishindaje, au basi ilimradi uandike tu??
Machampioni huwaga wanashindaga where/when it matters - hiyo ndiyo sifa moja kubwa ya mabingwa kama Yanga.

Kwenye lile kombe la kuku mlilocheza na wale chekechea Azam mlishinda kwa matuta mlijaza miposti humu JF kwa kufurahia ushindi wa kombe la kuku dhidi ya wale watoto (Azam) ambao hata harufu ya maziwa ya mama haijaisha mdomoni mwao!
 
:israel:Hatimaye Yanga ya Dar es salaam imezidi kuonyesha ubabe wake Leo taifa baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ngumu ya Mafunzo kwa jumla ya penati 5-3 zilizofungwa kiufundi na Said Bahanuzi, Nadir Haroub Cannavaro, Khamis Kiiza, Haruna Niyonzima na Mzee wa kidevu Athumani Idd Chuji..Kwa mantiki hiyo Yanga sasa itakwaana na APR katika hatua ya nusu fainali..Tunawatakia kila la heri wawakilishi hao pekee ambao wanaonyesha matumaini ya kutetea ubingwa huo kwa mara nyingine bila kuwasahau watani Simba! Inshallah tunawaombea tukutane tena fainali, kuna raha kumfunga mtani fainali!
 
Kilio cha fisi hichi!
Spain (mabingwa wa dunia na ulaya) wamechukua kombe tena la Ulaya. Unajua semi-final walishindaje, au basi ilimradi uandike tu??
Machampioni huwaga wanashindaga where/when it matters - hiyo ndiyo sifa moja kubwa ya mabingwa kama Yanga.

Kwenye lile kombe la kuku mlilocheza na wale chekechea Azam mlishinda kwa matuta mlijaza miposti humu JF kwa kufurahia ushindi wa kombe la kuku dhidi ya wale watoto (Azam) ambao hata harufu ya maziwa ya mama haijaisha mdomoni mwao!
Basi tuwape hongera hispania ya tanzania na east africa.tuombe Mungu tukutane fainali na ndipo mtajua kuwa simba si mnyama wa kuchezea itakuwa 5x6/5
 
Mkuu, usinunue mbereko na mtoto hajazaliwa. Hata nusu wewe hujaingia unawaza fainali, timu yenyewe ndiyo hiyo.

Naweka kando utani wetu nawaombea sana muwatoe Azam, nitakuwa mwenye furaha sana hili likitimia hapo kesho. Kazeni buti muwaondoshe bila ushindi kama vile Tusker na Mafunzo walivyoondoka.

Eti Azam timu nzuri, kwa lipi? Simba funga hazo Azam hapo kesho wakaoke mikate yenye fungus na wakasage juice kueneza typhoid kwa watumiaji.

tuko pamoja mtani ,hapo kesho lazima wanalambalamba ice cream zao zitayeyuke ndani ya dk90.
 
Hata wanaotangaza kiswahili wanaboa sana. "Anapigaa goooooooooooooo.., laaa nje" huu ni utangazaji wa kizamani wa radio na si tv. Star tv wako vizuri kwenye kurusha mpira Tz ila baadhi ya watangzaji wake na wachambuzi hamna kitu

mzee Star TV zile picha sio za kwao, bali ni za DStv, maana mi mwenyewe nilifikiri hivyo na kwa kuwa leo sikwenda uwanjani na nikaangalia nyumbani, nikawaona watangazaji wa supersport pale mapumziko kabla hawajaudisha matangazo Mwanza, so wao wanapokea picha na kuzitangaza tu, kamera ni za DStv

ila watangazaji wao wa tv, ni bomu mara mia yaani kama yule Tom Chilala, hafai kabisa kwenye kutangaza alistahili aidha awe anakaa newsroom tu au asome magazeti kazi aliyoizoea tangu yupo Radio Tumaini, mara mia uzime sauti ya tv ila uwashe redio na kuweka kiss fm, kwa kuwa ni ndugu na kwa kuwa sauti ya redio toka uwanjani inachelewa na picha pia inachelewa basi ukimix vinakutana pazuri na matangazo yanaeleweka zaidi

huyu Tom Chilala hajui hata kipi cha kuongea hewani na kipi asizungumze, nkumbuka pia siku ya uchaguzi mkuu 2010, kikwete alivyotoka tu kupiga kura akizungumza na waandishi, chilala akamuuliza kikwete, mheshimiwa baraza lako unatarajia liwe na mawaziri wangapi? kikwete akamshushua akamwambia subiri matokeo yatoke ndio tutazungumza masuala hayo, baadae tena kamuuliza ,mheshimiwa swali jingine la kipuuzi mpaka kikwete akahamaki kidogo, akamjibu wewe vipi si nimekwambia mambo hayo subiri mpaka matokeo yatoke? sasa ukimsikiliza redioni au kwenye tv unatamani uzime kabisa usisikie hizo pumba
 
Kilio cha fisi hichi!
Spain (mabingwa wa dunia na ulaya) wamechukua kombe tena la Ulaya. Unajua semi-final walishindaje, au basi ilimradi uandike tu??
Machampioni huwaga wanashindaga where/when it matters - hiyo ndiyo sifa moja kubwa ya mabingwa kama Yanga.

Kwenye lile kombe la kuku mlilocheza na wale chekechea Azam mlishinda kwa matuta mlijaza miposti humu JF kwa kufurahia ushindi wa kombe la kuku dhidi ya wale watoto (Azam) ambao hata harufu ya maziwa ya mama haijaisha mdomoni mwao!

Na hawataamini kuvuka huku kwa tabu ndo kumeishia hapohapo kwa mafunzo from now ni "clean win" ndani ya dk 90 mpaka tunachukua Kombe
 
Huo mdomo wako utaufunga tu....safari hii tuna piga wiki
 
Tutapunguza mawili tu

Five-goal-Simba-rout-Yanga.jpg
 
leo washabiki wa yanga tuko behind AZAM....come on AZAM!! tunawasubiri fainali :redface:
 
Back
Top Bottom