Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha
Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha
timu zote zinastahili kuingia nusu fainali, japo inatakiwa hapa ipite moja basi unayotaka wewe ndiyo itapita.
No... Wanayoitaka cecafa ndio itapita.
Mkuu mimi mpenzi wa yanga hapa nina furaha ajabu. Mwenye bar ana uhakika wa kuuza bia 10 kwangu tu. Ila ukweli ni kwamba mfungaji alikuwa offside
dakika ya ngapi wakuu .leo siko live nafuatalia hapa JF
refarees wanafanya nini hasa! ndo wanashusha kiwango cha mpira ktk ukanda huu.
kwani vipi mtatufunga kesho...hahahah
Dakika ya 64...
Berko kaumia sidhani kama ataendelea.
Anselm na Balatanda ndugu zangu wa karibu sana katika jukwaa hili vipi? Mbona siwaoni?