CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Yanga wanataka kutukwepa tusikutane nao..Refa wape hata penati hao yanga..

Mkuu Yanga hatumkwepi mtu, kwanza Mnyama yuko mbali mno, Azam yenyewe ni issue! Tuwakwepe ninyi mmefika wapi? Kumbuka mechi ya Atletico na Yanga kisha tafakari mechi kati ya URA na Simba. Tulia Mkuu, Mafunzo wanaongoza, hawajashinda, mechi ni dakika 90.
 
Mungu saidia Mafunzo washinde hii mechi, haiwezekani hela za EPA zitese wenzetu wa Zanzibar, Mafunzo uwezo mnao hivyo tunaomba na Mungu awe upande wenu na wao wabaki na hela zao za Manji.
 
Mkuu Yanga hatumkwepi mtu, kwanza Mnyama yuko mbali mno, Azam yenyewe ni issue! Tuwakwepe ninyi mmefika wapi? Kumbuka mechi ya Atletico na Yanga kisha tafakari mechi kati ya URA na Simba. Tulia Mkuu, Mafunzo wanaongoza, hawajashinda, mechi ni dakika 90.
Tena huyo mafunzo kafanya kosa kubwa sana,yani kamshika jini kule nyuma,leo atajuta kuifahamu yanga.
 
Hata wanaotangaza kiswahili wanaboa sana. "Anapigaa goooooooooooooo.., laaa nje" huu ni utangazaji wa kizamani wa radio na si tv. Star tv wako vizuri kwenye kurusha mpira Tz ila baadhi ya watangzaji wake na wachambuzi hamna kitu
 
Naona post zitakuwa nyingi sasa, Lakini Mafunzo inabidi mjitahidi uwezo mnao na Swaum inabidi iwape nguvu zaidi.
 
Kwa wale wanaojua mpira vizuri mtakubaliana nami kuwa mfungali alikuwa ameotea. How? Wakati cross inapigwa alikuwa amezidi ila ikiwa njiani hiyo cross kumfikia akarudi ndani. Sheria inasema mtu anakuwa offside pale mpira unapopigwa. Liwalo na liwe
 
Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha
 
Back
Top Bottom