Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovic, ametangaza kikosi kitakachoshuka dimbani leo hii dhidi ya Azam katika Robo Fainali ya Kombe la Kagame ambapo wachezaji Uhuru Selemani na Jonas Mkude wataanza.
Kikosi hicho kinaundwa na Juma Kaseja, Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Juma Nyoso, Lino Masombo, Jonas Mkude, Mussa Mudde, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Uhuru.
Benchi watakuwepo; Waziri Hamad, Obadia Mungusa, Kiggi Makassi, Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga, Dani Mrwanda na Amri Kiemba.
Profesor Maji ya shingo hadi kaamua kumuanzisha "Mindum" leo,sasa game ikimchachia atamwingiza nani? sioni hata mchezaji mmoja wa kubadilisha matokeo kati ya wanaoanzia benchi