CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

penat
yanga 2: mafunzo1 .wamekosa moja kapiga nje
 
Balatanda upo mkuu?
Usihofu tupo na wewe jamaa wa UAMSHO wametoka kwenye seminar ya jana mkuu nasikia wamepambana kama moto wa kifuu
 
penat
yanga 2: mafunzo1

Mashabiki wa Yanga naona wananyong'onyea, hapa ujue zote ni timu za Jamhuri ya Muungano, ingawa timu ya visiwani imeingia kama individual country exclusive kwa Muungano.
 
Timu za visiwani zinapocheza na timu za Bara mashindano ya kimataifa zinavyovimba si kawaida kabsa, ni kufa mtu
 
Back
Top Bottom