Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
tangu lini Ice Cream iliganda Jangwani?
hATA SIMBA NITAWASHANGAA WAKIINGIZA TIMU BADALA YA KUIWEKA KAMBINI KWAAJILI YA LIGI KUU NA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA..
hongera zako ila tumewapeleka mbaya sema zali tu sio letu
Halaa Azam FC
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...
Siyo sema leo beki yenu imecheza vzri kuliko mechi zote
Salum Abdulbakar wa AZAM ni Mtoto wa Abdulbakar Salum (Sure-Boy) Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Pia Kocha wa
Timu ya Vijana Wa Yanga... Kwanini Yanga wasimchukue huyu Salum Abdulbakar - Sure Boy? Ni HARARI Haswa
Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
Manji lete maji...kuna watu wamekunya humu
Nitamwita na kumpakata vizuri.sASA SISI SI NDIYO WAUMEZAO, WEWE UKIKUTA MKEO KAVAA NGUO YAKO UTAMPIGA...LOL
Simba 5 Yanga 0. Chifu siku mtakaposawazisha hayo matokeo, ndiyo unaweza kuzungumza hayo mbele ya TAIFA KUBWAView attachment 60215
(Courtesy of Mluga with modification)
Haka ka Ms. Azam, FC siyo katamu kama Darling wangu, angekuwa yule ningepiga zaidi ya bao sita. Sijafahamu Darling wangu kapotelea wapi, KIHEREHERE cha haka kabinti kimekiponza.
Naamini muda si mrefu Darling wangu atapatikana tu.
....and the winner is....................