TAARIFA MUHIMU CCM

Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#Kaziiendelee
IMG-20220322-WA0097.jpg
 
Ndio ndio kofia mbili inabidi irudi kwa Kasi ili tupate mserereko kuelekea uchaguzi wa 2025 na mama yetu ateleze kwa Kasi kuingia IKULU yetu akalete mageuzi makubwa ya kiuchumi na katiba mpya!!!Je anaungwa mkono na wote!!??Na mangula nae Kakubali Mama all the way to 2030!!!???Mama Akifanikiwa kugombea 2025 naomba mnipe ukampeni meneja nimpe mserereko wa moja kwa moja Hadi kitalani!!!
 
Balozi Polepole atakuwapo ama atakuwa kaenda kuripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi?
 
Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#CCMImara
#KaziIendelee
IMG_20220322_114829_844.jpg
IMG-20220321-WA0013.jpg
 
Mmmmmmm, kwanini wamechagua Tarehe ya sikukuu ya wajinga, tar 1/4? Kuna mantiki yeyote hapo.
Mantiki iliyopo nyuma yake ni kwamba, ile tarehe 5 Februari ni yenye kuwatambulisha waasisi wa chama, lakini hii tarehe 1 Aprili ni rasmi na yenye kukitambulisha kizazi cha sasa cha makada wa CCM.
 
Ajenda za kufuatiliwa
-Kung'oka
-Kung'oka
-Kung'oka
Mantra ya "Mapinduzi" iwe Kung'oka2025
CCM inaturudisha miaka ya 1400 kweusi.
Wajadiliane jinsi ya kuachia ngazi au walete mbadala wakueleweka "Mapinduzi" ni ya nani haswa. Wananchi wamechoka na wapi wanapotupeleka.
 
Kwann wamepanga sikukuu ya wajinga? Au wanataka kutoa maazimio ya utata kisha baadae wajitetee kuwa walikuwa ktk maadhimisho ya sikukuu?
 
TAARIFA MUHIMU CCM

Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#KaziiendeleeView attachment 2160189
April Fool's meeting. KARIBUNI WAJINGA
 
Back
Top Bottom