Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,463
2,289
ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA

KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022

IBARA YA 102

Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-

KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi

KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.

=====================

CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika mchemko wa kuvunjwa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha

Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
 
ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA

KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022

IBARA YA 102

Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-

KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi

KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.

=================================

CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika aibu ya mvunjo wa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha

Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
Huko CCM kila mtu kambale
 
Mwenyekiti hajamtengua msemaji wa chama ila kamuongezea jukumu na sijaona pahali pameandikwa katenguliwa uenezi ila kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa na wala sio kosa wala hajakiuka katiba msipotoshe
 
ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA

KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022

IBARA YA 102

Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-

KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi

KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.

=================================

CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika mchemko wa kuvunjwa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha

Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
Ulitegemea nini kama mwenyekiti wako anaita Katiba ni vijikaratasi tu.
 
Mpaka sasa Makonda Bado ni Katibu wa NEC itikadi na Uenezi maana hakuna mahali popote panaposema kaenguliwa, katumbuliwa au kaachishwa ila kilichofanyika ni kuteuliwa ukuu wa mkoa
hawezi kufanya kazi zote mbili, kwa hiyo NEC inalazimika kum replace,
kusema kwamba bado ni Mwenezi ni kujitoa ufahamu
Mwenyekiti ametumia mabavu kuidharau NEC
 
hawezi kufanya kazi zote mbili, kwa hiyo NEC inalazimika kum replace,
kusema kwamba bado ni Mwenezi ni kujitoa ufahamu
Mwenyekiti ametumia mabavu kuidharau NEC
Mpaka Sasa Makonda ni katibu Mwenezi na mkuu wa mkoa mteule... Na kama huamini Leo yeye ndie atatoa taarifa ya kikao kitakachokaliwa
 
hawezi kufanya kazi zote mbili, kwa hiyo NEC inalazimika kum replace,
kusema kwamba bado ni Mwenezi ni kujitoa ufahamu
Mwenyekiti ametumia mabavu kuidharau NEC
Jaribu kujielimisha kwenye mambo madogo kama ili uongeze uelewa wako. Mifano ipo mingi ya watu wenye nafasi zaidi ya Moja na zote wanazifanya , anza na Naibu Waziri mkuu
 
Who cares? Watajijua wenyewe
yes we care, what do you mean who cares?

wanachama wa CCM wanajali, na wananchi wanajali, wale wanaojua madhara ya viongozi kuvunja taratibu bila kuathirika, administrative impunity
 
Back
Top Bottom