PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ili iweje sasa kwani alivyofanya havimsaidii? ama havimuuzi kwa watu?
 
Watanganyika watekwe na na kupotezwa watu wakae kimya wakisema ukweli nani mtekaji inakuwa nongwa. Hizi damu za Watanganyika lazima zitalipwa tu .
Haziwezi kulipwa kwa maneno tu au kwa wishful thinking. Inatakiwa vitendo.

Inataliwa watz tuungane tukinukishe kweli kweli. Wao Wana dola, sisi tuwe na umoja wa dhati halafu tuone mshindi atakuwa nani!!!

Mbona wenzetu Kenya wanakinukisha Hadi watawala wanawasikiliza matakwa yao, sisi tunashindwa Nini??

Tatizo watz tunajidanganya kuwa jukumu la ukombozi Ni la wapinzani.

Jukumu la kuipigania nchi na raslimali zake Ni letu wananchi tuamke tuache uoga. Tukiendelea kuwa waoga watatuzoea Sana hawa wanasiasa
 
Back
Top Bottom