PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii.
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.​
 
Kwahiyo unataka hayo matusi kwenda Kwa mama yenu yaelekezwe kwetu? Uchawa ni kazi ngumu Sana..
Ingieni wenyewe mitandaoni mkinge matusi
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii.
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.​
Sawa kuna jambo Moja tumuombe kwenye mifuko ya jamii huko,Yaani mtu ametiza miaka ya kulipwa Kila mwezi ,anadai kama ulifukuzwa kazi hustahili ila aliyeachichwa!Hili tafadhali Mfikishie Raisi awatazame watu hao Kwa hicho la Huruma,wengi wanafukuzwa Kwa majungu,fitina nk.
 
Umeshashiba mnachowaza ni kuropoka tu hata amuangalii maisha ya mashaka na shida wanazopitia wananchi.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii

Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.

Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.
Huyu arudishwe Milembe
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii.
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.​
Lini Samia kawatuma mkafile watu?
 
Samia kashindwa kulinda Watanzania wanaotekwa na kuuawa, anasema habari za utekwaji ni drama tu na kifo ni kifo tu, kwa nini Watanzania wamkingie kifua asishambuliwe mitandaoni?
 
Kama ccm wote tungeongea lugha moja ya ukomeswaji wa mauaji , ukandamizwaji wa demokrasia na haki za binaadamu ... nadhani hapo tutakuwa tunamsemea mwenyekiti wetu vizuri.
 
Lindeni watanzania dhidi ya kupotea na kuuawa ndio kiwe Cha kwanza, haya mengine ya kumshambulia huyo Bwana hayatatokea. Fungueni mafuvu yenu vizuri ili yafikirie nje ya mnayoyawaza
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii.
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.​

Kwani yeye anasema je kuhusu utekwaji, uteswaji, kupotezwa, kuuwawa watu kiholela au washindani wake kisiasa kubambikiziwa kesi?

Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah majibu yenu tafadhali.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii.
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Samia Day iliyofanyika kata ya Kizota wilaya ya Dodoma Mjini yenye lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita katika kila kata za mkoa huo.

Amesema mashambulizi ya Rais Samia yapo mitandaoni na si kwingine, hivyo WanaCCM na wananchi kwa ujumla waitetee CCM pamoja na Rais wao.
Aidha, amewataka WanaCCM kuendelea kusemea mambo mazuri aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini.​
Huyu mama asitetewe kwa lolote, honyeshi jitihda zozote za kutokomeza utekaji. Gwajima is our hero
 
Watanganyika jikingine na wahuni wanaotaka kuwaangamiza ili tu waendelee kubakia madarakani.
 
Back
Top Bottom