...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Jinga sana....ukiwa na baba la ivi ....hesabu huna ,then linakuja eti "sura yangu na kichwa ila kiwiliwili sio changu "pumbavu
WTF nonsense is!!
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Najaribu tu kujiuliza swali dogo haya yote siku zote yalikuwa wapi? Ni nn kilichosababisha mkuu sana haya yamtokee kwa nyakati hz ni nn kilichonyuma ya haya. Ni je? Watu wamechoka kwa mambo haya au kuna kitu kingine mkuu huyu kimesababisha? Japo najaribu kujiuliza sana jamani nakosa jibu naombeni msaada. Ila japo najua kuwa kutukana wenzanke watu safi anajua maana niliangalia bunge la katiba alimshambulia Warioba kwa kuiga tu without thinking out of the box
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

1.jpg majanga.jpg

Wachunguzi na wataalamu wa photo editing kuna hali ya kuzua maswali mengi kuhusu picha zinazomhusu Mbunge wa Chadema toka kanda ya Ziwa Ukerewe hada baada ya kuibwaga serikali mahakamani:
  • Msichana aliyetajwa kiumbile si mwenyewe anayeonekana pichani
  • Msichana anayatajwa amekanusha kuhusuka na tukio na asema anafamilia yake hawezi kujidhalilishwa hivyo yeye na familia yake.
  • Kwiliwili cha mwanaume hakishabihiani na kichwa
  • Kichwani kunaonyesha wazi editing ya rangi na ndevu kitu kinachoashiria kukosa uhalisi wa tukio.
  • Mwanamke anaonekana kuchomekewa kichwa na kufanyiwa editing.
Hali halisi inaonyesha dhahiri sio tukio la ukweli bali ni uchongaji tu.

Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Uko sahihi mkuu kwa 100% toka juzi nimesema hizi ni picha halisi siyo za kutengeneza kwa photoshop akubali yaishe.
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?

Hakuna kisasi hapo watu wengi wanajifanya watakatifu kumbe wapuuzi mwache amuumbue hatutaki unafiki tumechoka kudanganywa.
 
Najaribu tu kujiuliza swali dogo haya yote siku zote yalikuwa wapi? Ni nn kilichosababisha mkuu sana haya yamtokee kwa nyakati hz ni nn kilichonyuma ya haya. Ni je? Watu wamechoka kwa mambo haya au kuna kitu kingine mkuu huyu kimesababisha? Japo najaribu kujiuliza sana jamani nakosa jibu naombeni msaada. Ila japo najua kuwa kutukana wenzanke watu safi anajua maana niliangalia bunge la katiba alimshambulia Warioba kwa kuiga tu without thinking out of the box
La kwanza lililowaudhi watu ni kumtusi Mzee warioba,pili kuwakejeri Ukawa tatu kujidai Mtemi wa Mwituni(msituni)wakati hata kwata alishasahau kitambo, Pia ana katabia ka kujifanya Mjuaji (much knows) Nadhani kwa mtizamo wangu huenda Haya yamechangia kwa kiasi fulani hv kupelekea Watu kuamua Kumwanika mapungufu yake, hapa JF ni chuo cha kuwakumbusha watu waliojikwaa,waliojisahau,malimbukeni,wazinzi nk Kuwa sasa ni mda wa kujitambua kisha wajiludi. Komba litumie jukwaa la JF kujitadhimini upya kisha uje kivingine Maana sasa umechafuka.
 
Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.
 
Hiyo picha ya kwanza imepigwa mwaka 2004,pengine kipindi hicho hajawa mheshimiwa so alikua anajiachia bila tahadhari.

Mkuu kuna watu huwa tunashindwa kuedit tarehe ya kamera iendane na tarehe ya tukio. Nna picha nilipiga 2013 lakini zina tarehe ya 2009. Kwenye tarehe ya picha inategemea na mpigaji ana ujuvi gani na camera yake
 
Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.

Ufuska ni kawaida yake hajaanza leo popote aendapo huwa hataki kulala peke yake ! Huyo Mr Komba anapenda wanawake hakuna mfano ni ajabu Kuwa mpaka Leo Ukimwi haujamchukua Maana amepita kwa wanawake wa kila aina ,mabinti wadogo,wakubwa hata Wazee wenzake, Mpe pesa Komba zitafika ulikomtuma , lakini ukimwombea lifti mwanamke kwenye Gari lake hafiki lazima achepuke nae Msituni , Akili ya komba mda mwingi huwa inawaza Ufuska na Ufisadi pesa za TOT ili apate pesa zaidi za kuhonga .
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!
Huyo si mke wake jamani?
 
Hivi Escrow account saga limeisha?
Maana watz kupotezwa kwenye jambo ni wepesi sana
 
View attachment 163648 View attachment 163649

Wachunguzi na wataalamu wa photo editing kuna hali ya kuzua maswali mengi kuhusu picha zinazomhusu Mbunge wa Chadema toka kanda ya Ziwa Ukerewe hada baada ya kuibwaga serikali mahakamani:
  • Msichana aliyetajwa kiumbile si mwenyewe anayeonekana pichani
  • Msichana anayatajwa amekanusha kuhusuka na tukio na asema anafamilia yake hawezi kujidhalilishwa hivyo yeye na familia yake.
  • Kwiliwili cha mwanaume hakishabihiani na kichwa
  • Kichwani kunaonyesha wazi editing ya rangi na ndevu kitu kinachoashiria kukosa uhalisi wa tukio.
  • Mwanamke anaonekana kuchomekewa kichwa na kufanyiwa editing.
Hali halisi inaonyesha dhahiri sio tukio la ukweli bali ni uchongaji tu.

Duhh, hapa kuna kazi. Jificheni faragha.
 
Michepuko sasa kuna MIBA,MASHIMO,TOPE na UTELEZI baki njia Kuu kuepuka Majanga , hapa wale Wabunge wakware wamepata Somo japo tabia ya uzinzi huwa ni vigumu kuibadilisha.
 
Hivi Escrow account saga limeisha?
Maana watz kupotezwa kwenye jambo ni wepesi sana

Wapo busy wanaandaa skendo ya kuwasahaulisha watu Kama walivyosahau Vioja vya Prof Kapuya kirahisi , komba akitaka abaki na utulivu lazima akili kosa kisha aombe msamaha,akimaliza aende kwa Mzee Warioba napo afanye hivyo hivyo itamsaidia kupumua kwa raha zake.
 
Labda tuwatajie
Hiyo lodge inatwa

BLUE ROSE

UKIFIKA .MEEDA NJIA YA KWENDA HOSTEL ZA CHUO ZAMANI UKIPITA MBELE KUSHOTO KUNA LOJI NYEUPE UKITAKA MORE INFO UTAKUTA

DADA MOJA LA KINGONI LINAMZIGO ADIMU UKO ....LIPE BUKUKUMI TU ANAKUPA INFO oTE

Ahahahaahahaaaaaaa naona Pdidy kaamua isiwe shida...ngoja aitaje kabisa.

Ni kweli inaitwa Blue Rose.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom