...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

hahahahhahaaaaa, Comberrrrrrrrrr
 
Tusisahau bil 200 na katiba....
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Walitaka Ku balance upepo ionekane na 'Upinzani' wamo pia.
 
Hizi za KOMBA hata kama ni halisi unaweza kuzitazama mbele ya Mkweo , ila zile za Kamanda Machemuli hazifai hata kuzitizama mwenyewe.

Ndio ushahidi unaotoa kumtetea mbunge wako? kweli vicha mko wengi sana humu!
 
Mwili jumba Kapiteini Komba sasa hivi mapigo yake ya kijeshi kayaelekeza kwa totoz! Kwata la TPDF kesha lisahau hata msituni alikotishia kwenda sidhani kama ataweza!
 
Hiyo picha ya kwanza imepigwa mwaka 2004,pengine kipindi hicho hajawa mheshimiwa so alikua anajiachia bila tahadhari.
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Huumjui machemli ww acha kuropokwa, en for yo info yule 2015 harud mjengon hata kugombea hagombei dats y anafanya umalaya,,, picha zake yupo kifua waz umeona wapi picha ya kimba akiwa kifua wazi,????? Acha ushabk

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Walitaka Ku balance upepo ionekane na 'Upinzani' wamo pia.

hawa washenzy walitaka ku-balance mzani kwa kutumia manyoya ya ndege lakini hila zao zimegonga mwamba.
 
Huumjui machemli ww acha kuropokwa, en for yo info yule 2015 harud mjengon hata kugombea hagombei dats y anafanya umalaya,,, picha zake yupo kifua waz umeona wapi picha ya kimba akiwa kifua wazi,????? Acha ushabk

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Wewe ndie unayeleta ushabiki ambaye hauwezi kutofautisha picha halisi na picha ya kuchongwa. Kama unataka kuthibitisha unachotaka tuamini weka picha halisi au njoo na ushahidi sio kubwabwaja tu hapa. Eti harudi mjengoni na wala hatagombea, hayo kwa sasa ni none issue, issue hapa ni kwamba mpango wenu umekwama, kaanze upya.

Tiba
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

honestly huwa naithamini sana michango yako apa jamvini.,,well argued comments kama zako zinalipandisha heshima jamvi letu

kwa nini unaahisi/unaamini zile za mkerewe ni za kuchonga mkuu???
Critical reasons ni zipi hasa mkuu tiba?
 
Hivi kuna mtu wa kumtetea kicheche mzee!!!??? hata ukifanyaje ni yeye TUUUU!! anafahamika hata Lulu wa Kanumba anamgegeda!! Huyu aache kuwakilisha watu ili asifuatiliwe!! Kicheche ni kicheche tu!!

Kha ha ha ha haaaaaa! Kumbe ni tabia yake kumbe????

Kwa kweli tabia haina dawaaaaaaa!
 
honestly huwa naithamini sana michango yako apa jamvini.,,well argued comments kama zako zinalipandisha heshima jamvi letu

kwa nini unaahisi/unaamini zile za mkerewe ni za kuchonga mkuu???
Critical reasons ni zipi hasa mkuu tiba?

wewe unayebisha ndiye unayepaswa kutoa ushahidi huo utuaminishe kwamba zile photo ni real na sio kazi ya photoshop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom