...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Weka picha zake tumchambue naye maana haijalishi ni nani cha muhimu maadili yazingatiwe. Halafu mbona unamtetea kama vile ni wewe ulikuwa unag'atwa vile?
Mwenyekiti wetu yupi tena, kama picha zake zikiwekwa atasemwa tu. weka picha zake zenye ushahidi wa kutosha kama hizi za komba tutamsema eti.
 
Mkuu umenikumbusha ule wimbo wake mgeni ameingia (sijui chumbani) wimbo wa ukimwi alioimba kumbe mzee wa totoz
Jamaa ni dume la Mbegu................... yaani maisha ya leo bado kuna watu wanazaa watoto 9 tena wengine nje ya ndoa!! Labda amewapata na pesa ya Ubunge ................maana pesa ya Ualimu au Jeshi isingetosha. Anyway, halafu usije shangaa kesho yupo jukwaani anajaribu kuwaasa wananchi kuhusu UKIMWI .................. Hivi kweli kuna mtu atamsikiliza!!??
 
bambu komba mbona utendiki mambu ya iyone nga uyingatii maadile ......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom