...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.
sasa mtu ana miaka karibu ama zaidi ya 50 atumie condom ya nini tena wakati ameshavuka nusu ya uhai wake na hata akipata hiv anaweza kwenda nao mdogo mdogo hadi hata afike 80.
 
Swala sio nani msafi,muungwana aliyejifunga taulo ikianguka huchuchumaa ili wengine wasimuone utupu.lakini yeye badala ya kukaa kimya akaenda clouds kukanusha ndiomaana mleta mada anatoa ushahidi kuonesha nguo zile nizake na bila shaka yoyote ndiye alipigwa picha na totos
Waungwana Salam,

Nayaona makosa mawili hapa.

  1. Komba kujihusisha na mapenzi nje ya ndoa, ikiwa alijihusisha maana sinauhakika wala sina utaalam wa kujua
  2. Kosa la jamii kuendelea kujadili na kuikuza aibu ya mwenzetu. Haitusaidii, haitubadilishi na haitufanyi sisi kuwa watakatifu kuliko yeye
Hivi ni nani kati yetu aliyemsafi kiasi cha kumsema na kumkejeli mwanaume huyu?? Kweli dhambi haina maana! zile kasoro tunazozitenda kwa siri hatupendi kuona wengine wakizitenda.

Mzee Komba pole sana Bwana. Kadhambi haka balaaa! Tujitahidi kukakwepa. Najua inawezekana.
 
Mwenye simu ya mama komba naiomba kusudi na mimi nimgebedue hahahahaha:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Swala sio nani msafi,muungwana aliyejifunga taulo ikianguka huchuchumaa ili wengine wasimuone utupu.lakini yeye badala ya kukaa kimya akaenda clouds kukanusha ndiomaana mleta mada anatoa ushahidi kuonesha nguo zile nizake na bila shaka yoyote ndiye alipigwa picha na totos
Swadaktaaaa,
Hapa umenipata vilivyo Mkuu wangu Ngoso.
Angekaa kimya bila kukimbilia Clouds FM basi hii thread isingekuwepo, maana tungeamini ndio yeye yakaishia palepale.
 
Last edited by a moderator:
hawa wanawake wa muheshimiwa ukiwapakia kwenye ABOOD BUS lazima wengine wakose seat.

Na ukiwaingiza Uwanja Mkuu wa Taifa (Huu Mpya) still bado wengine watakosa seat vilevile!!
 
Hizi habari za waheshimiwa ni zaidi ya Ze utam, hawanabudi kutambua "wapelelezi" wapo karibu yao kwa mambo yote wanayofanya si mazuri tu kwa jamii hata haya ya kuleta aibu kwa familia zao!
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Mwili si wake lakini MZIGO kala
 
Dahh hivi mnalipwa kumfuata fuata Komba??? Aheri na wewe uliyeweka hizi picha ungekuwa umeingiza japo buku.....
 
Nimeshangaa kusikia kua huu ndio utetezi wake aliotoa kwenye vyombo vya habari,anasema;

NDUGU WATANZANIA..Naomba nitoe tamko
Naomba mpuuzie picha zinazosambaa zikinionyesha eti nakula tunda na mtoto mdogo wa kike
Huyo sio mimi labda ni pacha wangu ambaye tumepotezana miaka mingi na familia haijui alipo...Mimi ni mtu wa heshma..hivi nilivyo kweli ntawezaje kuchepuka??hivi yule binti anaweza kuhimili hili tumbo??Ndugu Watanzania muwe mnaangaliaga na tuhuma...Huu ni wivu tu wa Wapinzani wangu wa kisiasa wanichafulie kwa sababu uchaguzi umekaribia na naahidi hawatashinda...Mi siwezi kula tunda huku nimevaa shati..huwa nabaki na boxer ya kitenge tu..
Narudia tena huyu sio mimi..hii ni Photoshop tu...Mimi hula tunda kwa pozi sio namna hii..Mimi nna lips very romantic na huyu wa pichani wala sio handsome kama mimi
Wenu katika Ujenzi wa Taifa la Wazee Wasiozeeka
Kapteni asiyeendesha Meli-komba.
 
Hata huo mwili sio wake pia, mwili wake uko mbinguni. Hahahahahhaaaa "komba" Kala ndizi Mbwa wamemshtukia
 
watu mnajua kuunganisha dots aiseee."mwana wa palochi" komba kwisha habari yake.
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!
Mzee wa mstuniiii! Mimi namshauri aingie mstuni kumsaka aliyepiga hizo picha. Other wise this is the naked truth!
 
Akane na sura siyo yake mshenzi malaya kabisa huyu!!
 
duu komba anatisha,nadhani hapo zilipo pigwa picha,ndoo ule usemi wake,wakuingia msituni,nakweli yuko msitu simuna mwona?huo ndo ule msitu alisema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom