MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 703
Tehteh chezea wananchi wenye hasira kali weyee.hatumwachi mpaka akiri
Na makarabai! Sorry, machemli!
Tehteh chezea wananchi wenye hasira kali weyee.hatumwachi mpaka akiri
komba alipeleka juisi kwa mpiga kura wake maeneo ya kinondoni... hiyo juisi labda ni juisi ya komba
kwikwikwikwikwikwikwiiiii
kwani hiyo 2004 hakuwa akiitwa komba? unataka kutuaminisha kwamba 2004 komba alikuwa hajazaliwa au unataka tukueleweje?
Huumjui machemli ww acha kuropokwa, en for yo info yule 2015 harud mjengon hata kugombea hagombei dats y anafanya umalaya,,, picha zake yupo kifua waz umeona wapi picha ya kimba akiwa kifua wazi,????? Acha ushabk
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali
Mtangazaji wa Clouds FM kwa makusudi au la hakumuuliza Bw. Komba swali la msingi kabisa: Je Bw. Komba, unawafahamu wasichana wanaooneka katika picha za utupu pamoja nawe? Kwa kutokuuliza swali hili, ni dhahiri kuwa Clouds Fm inatumika kumsafisha mheshimiwa huyu. Hali hii ni kinyume kabisa na maadili ya uandishi wa habari. And it makes the the society worse off. Vyombo vya habari vya namna hii havina manufaa yoyote kwa jamii.

Jaman,pm me za makoroboi,,,,,,i wanna see them
Jamani mnaomfahamu Makarabai, sorry, Machemli hivi ana mke kweli! maana najaribu kuvuta fikra kama ana familia (mke na watoto) hivi zile picha wanazitazamaje na wanajickiaje hata wanapopita mbele za watu wanaojuana!
Kuwa faragha si Kigezo cha kuendekeza Michepuko nje ya ndoa , kwani wameleta picha za komba na mke wake wa ndoa? Tambua maadili Tanzania yalishapotea ndio Maana Vijana wanavaa nguo chini ya Ma.ta.ko wengine nguo za ndani ni chafu hakuna Kiongozi wala Mbunge hata wa Ukawa amewahi kulisemea hili.kumbuka Komba ni kioo cha jamii anapaswa kuishi kwa mfano bora si kuishi kwa kucopy ya wazinzi wa mitaani.Nyie mnaowashambulia wenzenu hamfanyi haya mambo kweli?
kwanini umfate mtu chumbani kwenye faragha umpige picha? Hizi picha tunazozisambaza zinasaidia vipi kuhifadhi maadili yetu? Tunawafundisha nini watoto wetu?
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Mkuu naweza kukubaliana na wewe kwamba uenda akili sina, sawa na pia uenda kweli mimi ni mchumia tumbo sawa, lakini ili kuitetea hoja yako leta ushahidi hapa sio hizo picha za kutengeneza kwa photoshop. Kutwambia ametembea na Barmaid Nansio yote, hiyo yeyote anaweza kusema kama wewe unavyosema, lakini ushahidi huko wapi? Unataka tumhukumu mtu kwa kuwa wewe umesema, eti mpiga kura wake? Acha siasa uchwara na kumbuka this is a great thinkers forum, hatuendeshwi na kutoa maamuzi kwa kufuata mihemuko ya wachangiaji wengine, at least mimi.
Tiba