Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,187
Sasa huon kuwa ww ndo umekengeuka? Ukiweka picha ya Komba alioonekana na ya machemli ni picha gan utapigwa ban humu ndan? Obviosly n ya machemli coz wote wapo naked, akil huna ndio coz huwez tetea picha ya kutengenezwa paspo mjua mhuska mkuuu, komba yupo na tshirt lake na hlo ndo kosa huyu mtu mliemnunua amchafue alpowaangushen,,, poor u na thinkn capacty yako
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Wewe uwezo wa kujenga hoja na kunifanya nikubaliane na wewe huna, unachojua ni kuniambia mimi sina akili, nakubaliana na wewe akili sina lakini angalau nina uwezo wa kutofautisha picha feki na picha halisi.
Tiba