...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.
-Haha.....kuna iana nyingi sana za ngono siku hizi ....na kwa jisi komba alivyo inaweza kondomu isiwe na matumizi sana kwakwe.....
 
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali
Kumjulia hali gani?CCM bwana na kujuliana hali kwao, mapambano dhidi ya ukawa yatakuwa magumu sana itabiti tacaid waungane na Mkapa foundation.
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Ana watoto 9.mke wa ndoa watoto 5 na wengine 4 kila mmoja na mama yake!mpaka hapo umeshamjua kuwa ni mtu wa namna gani
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

kwani ulijui kabila la WANGONI.

kwenye I weka O.
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?
komba KASEMA ATARUDI MSTUNI.. SASA HAYA NDIO MASHAMBULIZI YA MAPEMAAAA ILI AWAHI HUKO MSTUNI AMBAKO NDIKO ASILI YAKE KOMBA. WAALA USIMSHANGAE HUYU MTOA MADA UNATAKIWA UMSHANGAE HUYU KOMBA KWA KUCHAFUA HALI YA HEWA
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?[/QUO

Komba na litumbo hilo hawezi kugegeda lolote! 'anachezeachezea' tu!
HAHAHAA WEEEE... HEBU MSOGELEE AFU CHEZA KWENYE ANGA ZAKE UKIMALIZA LETA MAJIBU HAPA... MUULIZE LU...LU ATAKUHABARISHA UZURI
 
Kuna jamaa juzi alikuwa anasema hizi picha ni Photoshop cjui leo amejificha wapi!!
 
Njia ya mwongo ni fupi akubali yaishe la sivyo kuanikwa hakutaisha.
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

kama ya kwanza imeunganishwa hiyo nyingine haiwezi kuunganishwa >
 
Kuna siku atadai yeye si mwanaume...
 
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?

Halafu isitoshe tarehe ya picha inaonesha ilipigwa 6.o1.2004, iweje leo ndo haya yaibuke? angalia tarehe ya picha ya juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom