...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Mbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?

hilo la 'mwenyekiti' unalitumia kama 'sabuni' ya kumsafisha komba au unalitumia kama kinyesi cha kuzidi kumchafua. tumia akili mkuu, usifikiri kwa kutumia tumbo kama komba.
 
Kibo10 come this wayy

Nimefika masai dada kapt naona jinamizi linazidi kumwandama
Hii ishanasa john k huna namna ya kupinga uchafu wako ulioufanya
Wataalamu wa picha za madukani tulishakagua toka mwanzo na tuliridhika john kitambi alikuwa anajivinjari na machangudoa
Cc MSALANI njoo huku uone alichokanusha komba nini na hii ni nini.
 
Last edited by a moderator:
si akae kimya tu. Du anampiga brashi huyu mama kisha amekalia viti vitatu peke yake.
 
Huyu Komba ni kiongozi malaya sana hafai, alafu siku moja anajaribu kumkebehi J. Warioba atampata wapi Warioba? Jaji Warioba ni mtu mwenye elimu na heshima kubwa sana kazi zake zimetukuka sana kwa maslahi ya Taifa hili.
 
Huyu ndugu yetu ni wakusamee bureeeeeeeeeeeeeeeee :der:
 
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali


Alimpelekea juice na fedha taslim............, malizia mbona watunyima uhondo mwanangu
 
Nimefika masai dada kapt naona jinamizi linazidi kumwandama
Hii ishanasa john k huna namna ya kupinga uchafu wako ulioufanya
Wataalamu wa picha za madukani tulishakagua toka mwanzo na tuliridhika john kitambi alikuwa anajivinjari na machangudoa
Cc MSALANI njoo huku uone alichokanusha komba nini na hii ni nini.

Hizi za KOMBA hata kama ni halisi unaweza kuzitazama mbele ya Mkweo , ila zile za Kamanda Machemuli hazifai hata kuzitizama mwenyewe.
 
gazeti la mtanzania wameandika Dk.Hosea kuwasaka waliomchafua Komba
 
hii napinga mpaka milele sio photoshop

hata mimi nimezifanyia keen analysis hizi photo--ni za kweli kabisa. ngoja wanaLumumba waje tusikie wanavyotetea UZINZI huu.
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Ukichoa sana kuku,bata kala nini hautakula nyama yake.Jamani na kabila nalo linachangia.Hawa wametoka kwenye lile kabila wasemalo hivi...'Mpatie kitita cha wekundu wa msimbazi utazikuta zote,lakini usilogwe ukamuachia MKEO maana utamkuta ameshabinafsishwa.'

Pole zake alizidi kumsakama Mzee wa watu na wajanja wenzie wakamsubiria,sasa atuambie kati yake na Mzee Warioba nani anaheshima mbele ya jamii.
 
gazeti la mtanzania wameandika Dk.Hosea kuwasaka waliomchafua Komba


Ana maralia ya kichwa?!?! Back to kuhangaika na vidagaa badala ya mapapa,

Picha na rushwa wapi na wapi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom