Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

daah pole sana kwa kweli,chochote kile naomba uwe unatujilisha,maana utapata ushauri mwingi jf,nimemkumbuka shost wangu mmoja alikuwa na huu ugonjwa
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

mkuu pole sana, ila km hutajali unaweza kusema ni hospitali gani uliyoenda huko Nairobi? hata mimi nina matatizo yanayofanana na hayo lkn hapa tz wameniambia siumwi chochote kbs, nimeenda hosp zote kubwa lkn hamna ki2 ila mm mwenyewe naumwa sana tu..ndio utashangaa mahospitali yetu haya mpk mtu uwe mahututi ndio wajue tatizo wakati huo inakuwa too late
 
Baada ya s kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

Iv si itapaswa kubadilisha figo hapo?
 
Sangarara, pole sana ndugu yangu,
Mungu wetu ni muweza wa yote, na hufanya kila jambo kwa kusudi maalum.
Mtegemee yeye, ishi kwa kufuata maagizo yake, nawe utapata amani.
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana; naweza kuhisi ni jinsi gani unajisikia. Haya magonjwa yanatufanya tukumbuke huu mwili si kitu kabisa. Mtegemee Mungu atafanya miujiza. Na jaribu hizo dawa za asili kuna dada alinisimulia bibi yake alipona kabisa kwa kutumia miti shamba
 
Mkuu wangu Sangarara mimi nakupa pole saana! Ndo maisha hayo kaka!

Wengi tu wanaumwa kama wewe! Na wengi tu wamepona! Hakuna kinachoshindikana chini ya jua! Dont give up! Nakuombea quick recovery bro!
Mungu yu pamoja na wewe!
 
Pole sana ndugu, ila kwa hatua hiyo ya mwanzo inatibia hakika nakwambia. Nitumie private sms nikupe namba ya mtaalamu.Utapona
 
“Father, Your Word says that we WILL lay hands on the sick and they WILL be healed. Your Word does not say that they may be healed or that they might be healed. Your Word says that they WILL be healed. Your Word says, Father, to speak to the mountain which is the problem (Mark 11:23, 24) and that if we command the mountain to be gone, believing without doubt, that we WILL have WHATSOEVER we say.”

“I therefore address this problem in Christ Jesus’ Name. Cancer I address you and come against Sangarara in the Name of Christ Jesus. I take authority over you in Christ Jesus’ Name. I bind you Satan. I bind and loose from you, and command you to go in the Name of Christ Jesus. I curse this cancer at the roots, and from this moment on, render your seedings, works, plans, and activities of no effect. Go now, in Christ Jesus’ Name, and leave my brother’s/sister’s body. By the laying-on-of-hands, I call him/her totally healed body, mind, and spirit, all in Christ Jesus’ Name.” Cancer, I command you to be gone, right now, in Christ Jesus’ Name.” (Mk. 11: 23, 24).

“I thank you, father, for already having heard and granted this prayer, in Christ Jesus’ Name.”
Sangarara Pokea uzima na afya katika Kristo Yesu, Amen.
 
Teh teh teh teh!
Nyie binaadamu ni balaa kabisa!
Mahubiri yako nani anayahitaji hapa??

Sasa we huoni kama unamtania huyu ndugu yetu kwa kumletea maombi ambayo una hakika 100% ni uongo!?

Huyo uzima unaompa we unaweza kumuhakikishia?
Au unaongea tu! Kama wale wapiga debe!
Yaani mi ningekuwa ndio huyo mgonjwa ningekupa maneno yako wala usingethubutu kuniletea utumbo huu tena!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

POle sana kamanda......... vipi wamekupa ushauri wowote kama vile kutoa hiyo figo iliyoathirika, au kama kansa hiyo imeshasambaa au hapana??

My heart goes out to you and if there is anything i can help, nipo tayari
 
Arif, hapa nimeingia baada ya kukuona. Huu uzi umenisononesha sana. Kama ulivoahidi please do the needful....
 
POle sana kamanda......... vipi wamekupa ushauri wowote kama vile kutoa hiyo figo iliyoathirika, au kama kansa hiyo imeshasambaa au hapana??

My heart goes out to you and if there is anything i can help, nipo tayari
TIMING you are a kind person!
Well done buddy!

Taifa linahitaji watu kama wewe ambao wako tayari kusaidia kwa lolote!

Sio hawa wanaokuja hapa kutangaza injili,!!

Kama mtu umekosa kabisa cha kusema si bora umuombee mungu tu! Kuliko kuja kusema ohh jesus kakuponyesha! Ohh mpokee yesu guarantee atakuponya...!!
Bla..bla..bla.. nyiingi!

Yaani watu wengine wanatia hasira sana!
 
Last edited by a moderator:
mkuu pole sana,naungana na wadau wote kuktakia afya njema na upone kwa JIna la mwenyezi Mungu!Pokea uponyaji wako sasa!Please ukienda kwa tiba mbadala tafadhari tupe feedback.Watu wanasahau sana tiba hizi na wanawasahau sana matabibu wa tiba asilia,urithi wetu wa kujivunia waafrika!Mkuu upone haraka
 
Ndugu yangu usikate tamaa,cancer inatibika ( kumbuka Lance Amstrong) na wengine. Go for the right treatment utakuwa okay.Ukiweza nenda zako Hyderebad India.
 
Back
Top Bottom