Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
afadhali kama ni moja tu, kwa sababu hiyo ya pili wameshindwa thibitisha angalau inatupa moyo kuwa kuna uwezekano ikawa safi.
Kama alivyosema Kiranga, second opinion ni muhimu ili upate options zilizobaki.
Kama unarudi TZ, jaribu kuonana na Mkony pia, ni mmoja wa madaktari wazuri wa figo kwa hapa kwetu.
Kama alivyosema Kiranga, second opinion ni muhimu ili upate options zilizobaki.
Kama unarudi TZ, jaribu kuonana na Mkony pia, ni mmoja wa madaktari wazuri wa figo kwa hapa kwetu.
Ni figo moja, lakini wameshindwa kusema kama na nyingine ni salama au sio.