Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.
Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

Arif, hapa nimeingia baada ya kukuona. Huu uzi umenisononesha sana. Kama ulivoahidi please do the needful....
usikate tama kiasi hiki, Mungu ni mwema kwako, fuata ushauri uliotolewa na baadhi ya wadau hapaKesho ndo nitapata detailed report, but I know it is complicated already. Nitaenda hapo Muhimbili pia.
swahiba nimejaribu ku-reach out kwa PM, i hope ataiona
I cant say i know how he feels, but trust me, this is the time when we need a helping hand
ipo sehemu gani?naomba unijuzeKama unaamini dawa za tiba mbadala i know the guy unaweza kuni pm then nitakutafutia namba yake nikupe umtafute ujaribu
au unaweza kwenda kwa wale jamaa wa celagerm
au
dynapharm
nenda J Mall wapo pale hata kama hautapata XYZ ila angalau utakuwa umepata ABC
ipo sehemu gani?naomba unijuze
Haleluyah! Chinga!
Hao "wajaidina " ndio wanyama gani??
Hebu acha bangi hapa!
Usianzishe ligi kwenye huu uzi kabisaa!
Mi namuombea ndgu yetu hapa!
Hayo mahubiri yenu peleka huko kwenye madhabahu!
tedo hebu acha kunisingizia kitu ambacho mi sina!Wacha kuuchafua huu uzi kwa chuki zako za kipuuzi kwa Wakristo.
Kwa nini na wewe umemuhusisha mungu? waliotoa comment zao kwa kurefer mistari ya bible wana amini uwepo wa mungu ktk kuponya watu kama wewe unavyo amini mungu atamponya bwana sangara,usilete chuki za kijinga tu eti kisa imetajwa bible udini ume kujaa sana wewe shwa.in.
tedo hebu acha kunisingizia kitu ambacho mi sina!
Mi namuombea ndugu yetu hapa kwa moyo safi kabisa.
Nilichokataza mimi ni nyie kutuletea mahubiri hapa!
Ohhh yesu atakuponya ukimwamini!
Ohh razaro alifufiliwa kwa hio na wewe umpokee yesu bla..bla..bla...
Hayo maneno acheni huko huko kanisani!
Haya mambo ya kumpokea yesu kila siku tumechoka kuyasikia!
Mpokeee Yesu mpokeee Yesu! Nasema TUMECHOKA!
Hapa unaweza kumuombea ndugu yetu msangara kwa maneno machache tu!
Na kumpa pole kwa wingi! Nadhani hicho kitamfaa zaidi kuliko hayo mahubiri yenu yasio na kichwa wa miguu!
Mnaboa sana!