Hii ni wazo zuri mkuu, fanyia kazi. Mimi wife aliendaga kwenye hayo mahospitali ya wakenya, one of the famous clinic in Dar wakati wa ujauzito wake wakampima wakachukua mahela kibao wakaibuka na findings kwamba atajifungua mtoto kilema, unaweza ku imagine hali waliyompa wife, ni kulia tu kila siku hadi siku ya kujifungua! Ila nikamwambia twende sehemu nyingine na nyingine tukajiridhishe akagoma kabisa! Siku ya kujifungua ni huzuni tupu, nichokozee queen alietoka sasa, mzimaaaaaaaaaaaaaaaa!
Pole sana mkuu.....
nimeumia sana......
dah,kwani huwezi itoa au ni figo zote?Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.
Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Kesho ndo nitapata detailed report, but I know it is complicated already. Nitaenda hapo Muhimbili pia.
Pole sana Nyanyuka ujiwekee Happiness 24/7 Mwenyeezi mungu yupo na wewe just Cheka nae always. Na ukipata maji ya ZamZam yatakufaa. Utapona tu Mpendwa.AMINa