Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

Allah akufanyie wepes mdau,as long wadau wanakupa ushauri maridhawa hapa ni kuufanyia kaz,na hapa ndo napoona umuhim wa JF
 
Allah akufanyie wepes mdau,as long wadau wanakupa ushauri maridhawa hapa ni kuufanyia kaz,na hapa ndo napoona umuhim wa JF

Niko ha nurse mmoja hapa ananiambia ni mmgonjwa wa kipekee sababu niko busy na mtandao as there is nothing going on? nikamuambia mazungumzo nayofanya hapa ni ya msingi kuliko yake nilifanya na daktari jana.
 
Mkuu pole sana kwa maswaibu yanayokukabili...binafsi nakushauri ujaribu kufika kwenye makanisa yanayotoa huduma za uponyaji, wapo watu waliopata afya huko.
 
Pole sana baba.
Ungeweza kuwasiliana na madaktari wa india ukawatumia vipimo vyako wakakupa ushauri. Kuna hospitali ya sanitaz dsm, angalia website na uwatumie email, wanafanya correspondence na huwa wataalamu wanakuja dar na kutoa huduma.

Nakubaliana na Kiranga, pata 2nd and 3rd opinion. Dr kapiteni wa tmj nae ni mzuri kwa hizi issues anaweza kuwa wa msaada.

Kila la kheri.
Ni figo moja, lakini wameshindwa kusema kama na nyingine ni salama au sio.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu,ila pia jaribu kwenye maombi pia na kama hata uwezekano upo nenda hata kwa TB.Joshua kwa maombi zaidi.
 
Da, nikiusikia huu ugonjwa, huzun huwa zinanijaa sana i lost 2 of my loved ones because of this.
Mkuu, Mkuu akupe ujasiri wa Hali ya juu sana, pamoja na medications zote, mtangulize kwa kila kitu. Hata Kama hautapona lakini you ll be in very PEACE.n ukweli unaouma.Mungu akutangulie na nakuombea vile vile .

Pole sana ndugu yangu
 
Niko ha nurse mmoja hapa ananiambia ni mmgonjwa wa kipekee sababu niko busy na mtandao as there is nothing going on? nikamuambia mazungumzo nayofanya hapa ni ya msingi kuliko yake nilifanya na daktari jana.

kabisaaa,i always appreciate THIS FORUM
 
Mkuu Sangarara, pole sana. Mtumaini Mungu na endelea kupambana, usikate tamaa ila kumbuka kumtumaini Mungu.
 
Pole mkuu.

You may want to get a second opinion and verify the stage and what your options are.

I am not encouraging self diagnosis, false hope or doubting doctors, but it is worth getting as much information as you can and verification of the information given by doctors.

Kidney Cancer Symptoms, Causes, Treatment - How is kidney cancer staging determined? - MedicineNet

Hii ni wazo zuri mkuu, fanyia kazi. Mimi wife aliendaga kwenye hayo mahospitali ya wakenya, one of the famous clinic in Dar wakati wa ujauzito wake wakampima wakachukua mahela kibao wakaibuka na findings kwamba atajifungua mtoto kilema, unaweza ku imagine hali waliyompa wife, ni kulia tu kila siku hadi siku ya kujifungua! Ila nikamwambia twende sehemu nyingine na nyingine tukajiridhishe akagoma kabisa! Siku ya kujifungua ni huzuni tupu, nichokozee queen alietoka sasa, mzimaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Pole sana.kama ukipenda kuna dawa ambayo inatoa unafuu ya maumivu nikuelekezekienyeji tuwasiane kwa 0654705550.
 
Back
Top Bottom