Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Huyu atakuwa na ushoga wa karibu na mleta mada.
Ushoga tena!!?? mbona unaharibu mambo sasa
Huyu atakuwa na ushoga wa karibu na mleta mada.
Mwanamziki wa injili
sasa na nyie wote mnajifanya hamjui huyu au visa tu!
Acheni utani,hakuna kitu kinaitwa rest in peace,kama alikuwa muovu adhabu yake ni kuzimu ktk tormenting kama alikuwa anaishi maisha ya kiutakatifu then ataenda mbinguni,suala la kujudge sio letu,,,wewe marehemu hebu sikia,hatukutaki tena huku nenda ufuate nuru utakayoiona,kama ulivifuata ulivyofundishwa na mchungaji wako basi fuata hiyo nuru,
alikuwa anamaanisha au ndo kuigaiga
Inasikitisha sana vijana wadogo wanapopoteza maisha ghafla kama hivi. sijui tatizo ni nini
Umeonaeee.... Ananikumbusha askari polisi mmoja aliyekuwa mtaa fulani wenye fujo sana Kule Magugu Manyara sasa akisikia fujo anajificha fujo ikitulia anarudi na kuanza kupiga mkwara...Ningekuwepo..... Hadi akaitwa ningekuwepo.. Ndahani muambie Preta kama ana kiu ya Mahandsome tupo wa kumwaga asisubiri tutangulie ndo anze kusikitika...Ukvumilia Mbivu si unakula zilizooza?
jf siku hizi inachezewa sana,hawa watoto wa fb wamehamishia utoto wao huku
Wekeni picha zenu tuzione tufanye tathmini ya u handsaome wenu.