Mleta mada mwenyewe nadhani kakurupuka mbona hatujibu huyu toz ni nani hasa?Mbona Hamsemi Huyu Dogo ndio Nani? Tuambieni basi Huyo Dogo ni Nani
Mleta mada mwenyewe nadhani kakurupuka mbona hatujibu huyu toz ni nani hasa?
u
ni nani huyu handsome....?
Was he a famous member of JF or something?
Duu, RIP Calvin nakukumbuka sana kwa michango yako kwenye swala zima la IT. hasa topic yako ya
[h=2]FREE Huawei MODEM Unlocking codes Request[/h]Just POST HERE your 15 DIGITS IMEI and model example
Model: Huawei E160
IMEI: 35159603*******and I will give you unlocking codes.
pumzika
u mean its calvinpower...?
wewe uliyejiunga juzi huwezi kumjua mtu huyu, tafuta jina la CalvinPower
So sad to hear this.He was so cooperative in the Tech,gadget and science forum RIP Calvin. Sasa watu wengine wanaleta blah blah zinasababisha maswali mengi bila sababu.Asante mkuu Maswi kwa taarifa
ungekuwepo wapi mpenzi....?
Umeonaeee.... Ananikumbusha askari polisi mmoja aliyekuwa mtaa fulani wenye fujo sana Kule Magugu Manyara sasa akisikia fujo anajificha fujo ikitulia anarudi na kuanza kupiga mkwara...Ningekuwepo..... Hadi akaitwa ningekuwepo.. Ndahani muambie Preta kama ana kiu ya Mahandsome tupo wa kumwaga asisubiri tutangulie ndo anze kusikitika...Ukvumilia Mbivu si unakula zilizooza?
preta=ningekuwepo
So what? Kama ni maarufu hivyo mbona simjui ingawa sikujiunga juzi kama unavyosema?
Picha ya Calvin Francis
View attachment 71051
Whooaa 4 real CP ka2toka :0 :-0 Rip
.
Bac we c mdau wa Tech ndo maana, 1 of his posts was so usefull imewekwa kama sticky kwenye JF Store.
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...m-unlocking-codes-request-39.html#post5014225