Calvin Francis afariki dunia

Calvin Francis afariki dunia

R.I.P Calvinpower,tutakukumbuka sana kwa msaada na maujanja yako kwenye jukwaa la Tech..

Sasa nimeona umuhimu wa kutumia jina llangu halisi humu ndani.
 
R.I.P Calvinpower,tutakukumbuka sana kwa msaada na maujanja yako kwenye jukwaa la Tech..

Sasa nimeona umuhimu wa kutumia jina llangu halisi humu ndani.

Kwani huyu marehem alikuwa member wa JF?
 
CalvinPower tena?
**** this death, sijui kwanini asife kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye in-fact hatumwitaji maishani mwetu, tutumie nae public funds one more time alafu iwe bhaaasi.
Kuliko hawa watu waliokuwa wanaotusaidia matatizo yetu daily.
#maanina#
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Calvinpower,tutakukumbuka sana kwa msaada na maujanja yako kwenye jukwaa la Tech..

Sasa nimeona umuhimu wa kutumia jina llangu halisi humu ndani.

sio kihivyo......we tafuta tu members wenzio ufahamiane nao.......inatosha.....
 
R.I.P Calvin!! Ila mbona inaelekea wengi hatumfahamu nikiwemo mimi? Halafu picha zake FB na hereni!!! Mhhh!!! Na maeneo aliyokuwa anavinjari!!! Boflo tuambie kama unamfahamu huyu Calvin!! Zaidi ya IT expert alikuwa nani? Maana naye marehemu Mac D naye alikuwa IT expert!! Rest in Peace Mac D again!!! Uliacha pigo kwa familia yako sana!!
 
ndugu mimi siyo mtoa taarifa, but according to mtoa taarifa, amesema alikuwa mtu wa IT, na humu JF sizani kuwa kuna mtu wa IT mwingine anaitwa calvin, zaidi ya CalvinPower.

Nafuta kauli mkuu,samahani kwa kukutumia kama chanzo cha taarifa. Muanzisha uzi hakusema popote (pengine macho yangu?)kwamba marehemu ni nani hapa JF nimesoma hiyo kwa mara ya kwanza kwenye post yako,tusubiri uhakikisho kutoka kwa wadau wliomfahamu vizuri marehemu.Pamoja sana mkuu Maswi
 
Last edited by a moderator:
Acheni utani,hakuna kitu kinaitwa rest in peace,kama alikuwa muovu adhabu yake ni kuzimu ktk tormenting kama alikuwa anaishi maisha ya kiutakatifu then ataenda mbinguni,suala la kujudge sio letu,,,wewe marehemu hebu sikia,hatukutaki tena huku nenda ufuate nuru utakayoiona,kama ulivifuata ulivyofundishwa na mchungaji wako basi fuata hiyo nuru,

Na kwa vile hatuwezi kuhukumu tunasema Rest In Peace Mengine ni ya Mungu.
 
Back
Top Bottom