LOL...Kumbe Mahandsome wako hivi? Aisee.... Kwa bahati mbaya mtoto wa kiume akishavaa hereni sitamani hata kumuangalia mara ya pili.ni nani huyu handsome....?
ndio kinachonisikitisha........:confused2:
ni nani huyu handsome....?
Nimesikitika kwa kweli, na toka mwezi wa 6 mwaka huu nimeshaguswa/sikia vifo vya vijana wadogo kwa ajali kama vitatu najua how much it hurts, pole kwa wafiwa, simjui ila imenigusa.
Mbona hututafuti mahandsome tulio hai unaulizia waliotangulia mbele ya haki? teh teh teh
Muulizeni martin kadinda
maana niliona kwa martin kadinda nae annasikitika katika facebook yake
maybe ni mutu ya fashion industry
inasikitisha sana vijana wadogo wanapopoteza maisha ghafla kama hivi. Sijui tatizo ni nini
Umeonaeee.... Ananikumbusha askari polisi mmoja aliyekuwa mtaa fulani wenye fujo sana Kule Magugu Manyara sasa akisikia fujo anajificha fujo ikitulia anarudi na kuanza kupiga mkwara...Ningekuwepo..... Hadi akaitwa ningekuwepo.. Ndahani muambie Preta kama ana kiu ya Mahandsome tupo wa kumwaga asisubiri tutangulie ndo anze kusikitika...Ukvumilia Mbivu si unakula zilizooza?
LOL...Kumbe Mahandsome wako hivi? Aisee.... Kwa bahati mbaya mtoto wa kiume akishavaa hereni sitamani hata kumuangalia mara ya pili.
ha ha ha,..nilikua staki ku commnt lakini nimeshindwa kuvumilia..
Kumbe unatuchora tu. Si utuambie alikuwa ni nani huyu..