Bungeni Live: June 19, 2012

Bungeni Live: June 19, 2012

Taarifa ya Habari TBC: walimu wanaomba mishahara iongezeke, pia wanaomba posho.
 
Lusinde: Bajeti ya chadema UONGO MTUPU, mbona haizingatii ilani ya uchaguzi ya chama chao, mbona hatuoni elimu bure kwenye bajeti yao, UONGO MTUPU

Mwendawazimu kweli huyu, CDM iseme Elimu Bure kwa ni ina miliki Dola???

Itatoaje Elimu bure ikiwa shule zipo chini ya serikali.

Mwendawazimu si lazima awe Hospitali ya Vichaa wengine wapo hadi Bungeni kumbe!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kma wapinzani wakngekuwa kama huyu chiku na mrema, basi tanzania ingepata maendeleo. Maana anaongea poit tupu.

Chiku abwao: Nini logic ya ubinafsishaji? yaani unabinafsiha madini utegemee wageni wakupe utajiri, Kweli?

Chiku abwao: Tuzuie ubinafsishaji mpya jamani, Tumegundua gesi tz, lakini je tuna sera ya gesi?

Ulishaona hana point na hapa unasema ana pointi na ndipo ninapoweza kudhihirisha unafiki wako mkubwa ewe mala makombo
 
Ccm 5= i hoja zilizojengwa leo mchana ni mechi kati ya vichaa na machizi
 
tatizo lenu nyie CCM mpo kama horn..........mnapiga kelele mkibonyezwa....

Soma hapa..........kama hujui kusoma muombe jirani yako akusaidie!!!....usilete upopo wako hapa.

MAPATO
AMapato ya ndani11,889,078
i)mapato ya kodi (TRA)
ii)Mapato yasiyo ya kodi
BMapato ya Halmashauri
CMikopo na Misaada ya kibajeti (GBS)842,487
DMisaada na mikopo ya miradi ya maendeleo nay a kisekta2,314,231
i)Misaada1,465,461
ii)Misaada na mikopo kisekta 415,137
iii)MCC(MCA-T) 433,634
Jumla ya Misaada na mikopo ya kibajeti3,156,718
JUMLA YA MAPATO YOTE.15,045,796
MATUMIZI
EMatumizi ya Kawaida 9,000,000
HMatumizi ya Maendeleo
(i)Fedha za ndani4,161,177
(ii)Fedha za Nje1,884,619
Jumla ya matumizi ya maendeleo 6,045,796
JUMLA YA MATUMIZI YOTE.15,045,796

[TD="colspan: 2"] SHILINGI MILIONI [/TD]
Mkuu umesahau sera za CCM? Mojawapo ni hii ya kutokomeza njaa kwa wananchi.

attachment.php
 
Mnyika na mchezo wa Magengeni aibika awa mdogo kama piritoni but kawapa waandishi wahabari soko la Magazeti Kesho
 
Nadhani wewe hujawachukia bado. Mimi bado nakumbuka tukio la Nduli Idd Amini ya kuwafukuza maponjoro wote UG. Nadhani alikuwa na hasira nao kuliko mm na ww.
Hawa watu wamekaa kimtego tu hapa TZ. wana nyanyasa watu na wezi kweli kweli!
Forex yote wanayoipata inakwenda nje kupitia hizo Bureau de change zao.
kwenye viwanda vyao ndo usiseme, transfer pricing inatumika kikamilifu kutorosha forex nje. TRA hawana control nao and sometimes wanavuta mshiko kutoka kwao (uzalendo hakuna)
Leo hii unatoa tax exemption kwa hawa watu!!!!!:flame:

halafu wafanyakaz wao hata wakienda kulalama mahakaman,,,kama mhindi anamiliki kiwanda cha rangi atahonga rangi,,,kesho akienda mfanyakaz wa kiwanda cha mabati,mhindi anahonga bati kwa HAKIMU
 
​Katika mchango wake katika bajeti ya Serikali, Mhe Mbatia amegusia suala moja ambalo kwakweli lina utata sana.
Taasisi ya Aghakan nchini ina mkataba na serikali wa kutolipa kodi zote (zero tax) nchini kwa sababu kwamba wanatoa huduma za elimu na afya kwa watanzania masikini kwa ghafama nafuu

Lakini cha ajabu ni kwamba hospitali na shule za aghakhan ni most expensive kuliko shule na hospitali nyinginezo. Je kuna maaana gani watu hawa kuendelea kupewa exemption. Naambiwa hata toilet paper inayonunuliwa na aghakhan hailipiwi kodi...achilia mbali magarim vifaaa n.k

Tena wanachofanya, wanawatoza watanzania waswahili na makampuni ya nchini very high premium pale hospitali alafu wana wa subsidize wahindi wa jumuiya ya ISMAILIA ndio wanatibiwa bure pale. Kufanya operation ya appendix pale ni shilingi milioni 2, wakati same operation Tumaini Hospitali ni shilingi 400,000 na St Benard hospital ni shilingi 600,000.

Iweje Agakhan wasilipe kodi ihali Hindumandal ambayo nayo ni ya kidini wanalipa kodi?. Tunaambiwa Regency Hospital ni moja ya walipakodi wakubwa katika TRA kanda ya Ilala.....wanalipa kodi karibia shilingi bilioni 2 kwa mwaka.....sasa aghakhan ambayo ni ghali kuliko regency na ina operations maradufu ya regency si ilipe kodi tu. hii ndio mianya ya upotevu wa fedha za serikali...

Hongera Mhe Mbatia kwa kuliongelea suala hili bungeni

hii point naunga mkono kwa asilimia 200 - sasa hivi bima ya afya haioperate hapa kwa sababu ya gharama hizo.
 
Ni nani kasema kua pale Dodoma Bungeni ni sehemu patakatifu???
 
Back
Top Bottom