Bungeni Live: June 19, 2012

Bungeni Live: June 19, 2012

Ushahidi alioutoa Lema mbona hatujapewa Majibu yake?Au ni Fashion kuomba vielelezo ambavyo hawavifanyii kazi?
 
Hawa ndio wa kuwapa hongera kwa kunufaika kwa kuichagua CCM

320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg

hahahahaaa,,,,,kweli utandawazi una faida zake,,,moja ndo hii,na una hasara bado hapa sijaiona,nafatilia bunge kupitia jf,,,,,asanten mlio karibu na tv
 
Je kati ya JK na Mbowe ambaye alikataa V8 na posho kwa kuhadaa Umma kuwa havitaki wakati anavitumia kiulainiiiiiiiiiii
I agree with Mnyika ni dhaifu sio kidogo ni dhaifu sana.

- Ni tapeli na wa ahadi (meli maziwa makuu hata moja hakuna, maisha bora kwa kila mtanzania yamekuwa maisha duni kwa wananchi wote wa hali ya chini.

-Source ya tanzania kujigawa kiimani (Aliitumia sana kauli mbiu ya udini wakati wa kampeni sasa moto umeshika kasi amekaa kimya huu ni udhaifu mkubwa ameitia nchi kiberiti anangoja iteteketee)

-Hawezi chukuwa maamuzi kwa wakati muafaka na pia kwa mafisadi (Chenge, karamagi, yona, mramba, kiwira coal mine, EPA, Richmond, wanyama waloibwa ........nk.......nk orodha ni ndefu mnaweza kuendeleza

-Hana vision, ya jana yeye anayafanya ya leo (zidum fikra za mwekiti wa sisiem, inchi imebadilika yeye ameshindwa kukop)

-Walimu wanadai nyongeza mishahara anatishia kuwapiga, wakoloni wanaiba madini yetu kwake halali

-Watanzani wanazozana juu ya udini balaza la mitihani yeye amekaa kimya kama sio udhaifu ni nini????

-Madakitari wanagoma anachukuwa mwezi kutafuta partial solution watu washakufa sana sio udhaifu huo???

-Arusha wanatafuta haki kwa maandamano, wanauwawa anasema ni matatizo ya lema anasahau walioandamana songea, tandahimba nk huu ni udhaifu pia

KAMA NDUGAI HAJUI MKUU WAKE NI DHAIFU BASI YEYE PIA NI DHAIFU. HATUWEZI KUTOKA GIZANI KAMA TUNAMSIFIA RAIS KWA UDHAIFU NA MADHAMBI MENGINE, ATAJISAHIHISHA TU AKIAMBIWA UKWELI NA AKAELEWA LAKINI HUYU BWANA HANA SIFA HIYO.
 
Kenge huwa anairingia miamba kwamba ana rangi nzuri kuliko miamba,.....aringie maji ataweza?!!

Silly season..........!!!! tunawangoja hawa vilaza huku mitaani...come 2015!!!
Kama kawaida CHADEMA mbele CCM nyuma....

sdc10642.jpg
 
Hvi hoja ni Mbowe na gari au Budget?
Hata mimi nashangaa hilo tumesikia Mwigilu kaongea jana. Lusinde naye anarudia? Hii yote inadhihirisha wapo kimaslahi zaidi ndo maana wanaongelea material things
 
Naibu spika: Bunge linaahirishwa hadi jioni, naomba nisisitize sana, wabunge(upinzani) acheni jazba na chungeni kauli zenu, tofautisheni mambo ya majukwaani na hapa. Heshimuni kiti
 
Nadhani baadhi ya wabunge huwa wanaongea kama vile wamekurupushwa na hawakujua kuwa wako kwenye orodha ya kuchangia. Mtu anaongea mtiririko huuoni. Mara vijembe mara kejeli. Tarime Kazi mnayo 2015.
Si ndio sababu wanapigwa risasi kila siku??? matunda ya ccm mauaji
 
Wadau tumpongeze NDUGAI, kuwadhibiti vijana wa vijiweni bungeni. Big up Job Ndugai.
 
Back
Top Bottom