Ni serikali ya ahadi hewa na propaganda chafu za ukabila, ukanda, udini, na sasa wanabaguana wao kwa wao kwa jinsia. (Apewe Anna makinda sio Samweli sita kwasababu makinda ni mwanamke-Sasa anakuja Asha Ros migiro sijui itakuwaje? badala ya kuangalia uwezo wa mtu unaangali jenda yake kwani anafunga ndoa na madaraka?
Serikali inayopandisha kodi kwa walalahoi kila bajeti kushindwa kupandisha mishahara na kushindwa kudhibiti mfumko wa bei kama siyo kuishiwa maarifa nasiyo upuuzi ni nini??
Serikali inayopandisha kodi kwa walalahoi kila bajeti kushindwa kupandisha mishahara na kushindwa kudhibiti mfumko wa bei kama siyo kuishiwa maarifa nasiyo upuuzi ni nini??