Bungeni Live: June 19, 2012

Bungeni Live: June 19, 2012

Naibu Spika apigwa kipapai na Bibi Chiku Agwao da wa Mama wengine Bwana unagusa sehemu za ukweli kabisa yaani Ndugai kajiona mdogo
 
Chku abwao: Mbona deni la taifa linakuwa na maisha yanaendeleo kuwa mabaya? pesa hizi na misaada inapelekwa wapi?
 
Watanzania tunapenda sana kupakana mafuta aisee. ukimwambia mtu dhaifu (weak) eti ni tusi!! au kumwambia mtu kafanya upuuzi (Negligence) eti ni tusi!! Kha!!!!! ndio maana hata amani yetu ni ya "Kichina"
 
Murtaza Mangungu:
  • Mkoa wa lindi umepangiwa 14bil, tunafanana na mkoa wa rukwa, na katavi ambayo ina wilaya mbili tu.
  • Wassira alisema mkoa unaoongoza na mtawanyiko mkubwa wa watu ni mkoa wa lindi.
  • Huu mfumo wa bajeti una matatizo
  • Siku zote tunalalamika tujengewe barabara, ili mazao ya wakulima yafike kwenye soko
  • dhana ya kilimo kwanza rais alilianza kwa nia njema, lakini sasa inaonekana ni kilio kwanza
  • kwani nmb au mabenki yetu wasipewe uwezo wa kuwakopesha wakulima .......... mawasiliano yame distort

Bajeti ipite? Ndiooooooo ndio utakuwa mwisho wa malalamiko haya! usanii nisioutaka
 
Naona limekaa ki series zaidi natamani leo hata wasipumzike waendelee kupimana ubavu
mama abwao ndo alivo yeye kwanza anamchana spika au naibu then anasonga,,,,,,,UKITAKA UTOE STRESS SIKILIZA BUNGE LAKO,LINALODHAMINIWA NA PCCB NA CAG
 
Chiku abwao: Nini logic ya ubinafsishaji? yaani unabinafsiha madini utegemee wageni wakupe utajiri, Kweli?
 
Naibu Spika apigwa kipapai na Bibi Chiku Agwao da wa Mama wengine Bwana unagusa sehemu za ukweli kabisa yaani Ndugai kajiona mdogo

busara inahitajika sana jaman kwenye UTAWALA,si mara ya kwanza rais kuitwa dhaifu,,,,kosa hili la kumtoa nje mbunge,,,kwa sasa wabunge wataona kutolewa nje ni issue ya KAWAIDA TU(ADHABU IMEZOELEKA
 
Chiku abwao: Tuzuie ubinafsishaji mpya jamani, Tumegundua gesi tz, lakini je tuna sera ya gesi?
 
Huyu Mama ni zaidi ya Mnyika da anamsimamo wa Kishibuda zaidi karibu CCM
 
Kma wapinzani wakngekuwa kama huyu chiku na mrema, basi tanzania ingepata maendeleo. Maana anaongea poit tupu.
 
Chiku abwao ampiga vijembe mnyika, apinga wabunge kutumia lugha chafu, asisitiza wajikite katika hoja. Hongera mama
 
Ndugai naona amelewa madaraka!
Sasa mtu kuambiwa chizi na mwingine kuambiwa dhaifu lipi tusi zitto?
 
Kangi Lugola bajeti ya Zitto ni Bajeti Giza haina mapato ya ndani du Zitto kachemka vibaya
 
Kma wapinzani wakngekuwa kama huyu chiku na mrema, basi tanzania ingepata maendeleo. Maana anaongea poit tupu.
Mara oooh........upinzani yupo Zitto tu....mara oooh Chiku Abwao yupo fit sana, wapinzani wote wangekuwa kama yeye...

Unakuwa kama kenge.......kuringia miamba!
 
Jamani mbunge wangu wa SIKONGE baada ya kusikia neno WASANII, limemuuma sana maana kaona katukanwa.

Mbunge Msanii kusikia wabunge wanasimama kama Wasanii, akaona ohh... huyu ananitukana.

Leo nazidi kuamini, UKWELI UNAUMA.

DSC_8807.JPG


Mwaka jana wakati Sikonge watu wanakufa njaa, Mbunge Wa Jimbo la Sikonge Tabora Saidi Mkumba akimkabidhi Kiongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Saidi Mabera Kitata cha Shilingi Laki Tatu kwa ajili ya bendi.
 
Back
Top Bottom