Bungeni Live: June 19, 2012

Bungeni Live: June 19, 2012

Zitto ni Muongo anatakiwa kuombewa kwa kukemea mapepo yatoke ili apone kwa mujibu wa kangi Lugola wakati akichangia Bajeti Giza ya Mh Zitto
 
Mara oooh........upinzani yupo Zitto tu....mara oooh Chiku Abwao yupo fit sana, wapinzani wote wangekuwa kama yeye...

Unakuwa kama kenge.......kuringia miamba!

hahahha,,,,kenge anaringia miamba au maji,,,ah,,,raha bungeni raha jf,,,,KAZI NI KWAKO
 
hawa wabunge wa ccm wengi wao hawajui wasemalo. Wanawakashifu wapinzani kwa kukosoa serikali ya ccm kisha na wao wanarudi kukosoa mapungufu yaliyopo kwenye bajeti ya serikali ya ccm. Hawa nawafananisha na nyoka anayemeza mkia wake mwenyewe!

Haimaanishi kuwa CCM unakubaliana na kila linalotolewa na CCM, linapokuja swala la kitaifa ni vema chama kikawekwa pembeni kuangalia maslahi ya wananchi wanaowakilishwa kwanza!
 
I agree with Mnyika ni dhaifu sio kidogo ni dhaifu sana.

- Ni tapeli na wa ahadi (meli maziwa makuu hata moja hakuna, maisha bora kwa kila mtanzania yamekuwa maisha duni kwa wananchi wote wa hali ya chini.

-Source ya tanzania kujigawa kiimani (Aliitumia sana kauli mbiu ya udini wakati wa kampeni sasa moto umeshika kasi amekaa kimya huu ni udhaifu mkubwa ameitia nchi kiberiti anangoja iteteketee)

-Hawezi chukuwa maamuzi kwa wakati muafaka na pia kwa mafisadi (Chenge, karamagi, yona, mramba, kiwira coal mine, EPA, Richmond, wanyama waloibwa ........nk.......nk orodha ni ndefu mnaweza kuendeleza

-Hana vision, ya jana yeye anayafanya ya leo (zidum fikra za mwekiti wa sisiem, inchi imebadilika yeye ameshindwa kukop)

-Walimu wanadai nyongeza mishahara anatishia kuwapiga, wakoloni wanaiba madini yetu kwake halali

-Watanzani wanazozana juu ya udini balaza la mitihani yeye amekaa kimya kama sio udhaifu ni nini????

-Madakitari wanagoma anachukuwa mwezi kutafuta partial solution watu washakufa sana sio udhaifu huo???

-Arusha wanatafuta haki kwa maandamano, wanauwawa anasema ni matatizo ya lema anasahau walioandamana songea, tandahimba nk huu ni udhaifu pia

KAMA NDUGAI HAJUI MKUU WAKE NI DHAIFU BASI YEYE PIA NI DHAIFU. HATUWEZI KUTOKA GIZANI KAMA TUNAMSIFIA RAIS KWA UDHAIFU NA MADHAMBI MENGINE, ATAJISAHIHISHA TU AKIAMBIWA UKWELI NA AKAELEWA LAKINI HUYU BWANA HANA SIFA HIYO.
 
Chadema sasa naona sasa Magwandwa yamelowaa Jasho sasa ni muda muafaka wa Kuyavua na Kuvaa uzalendo
 
Kangi Lugola bajeti ya Zitto ni Bajeti Giza haina mapato ya ndani du Zitto kachemka vibaya
tatizo lenu nyie CCM mpo kama horn..........mnapiga kelele mkibonyezwa....

Soma hapa..........kama hujui kusoma muombe jirani yako akusaidie!!!....usilete upopo wako hapa.


MAPATO
A
Mapato ya ndani

11,889,078

i)mapato ya kodi (TRA)



ii)Mapato yasiyo ya kodi


B
Mapato ya Halmashauri


C
Mikopo na Misaada ya kibajeti (GBS)
842,487

D
Misaada na mikopo ya miradi ya maendeleo nay a kisekta
2,314,231


i)Misaada
1,465,461


ii)Misaada na mikopo kisekta
415,137


iii)MCC(MCA-T)
433,634


Jumla ya Misaada na mikopo ya kibajeti

3,156,718





JUMLA YA MAPATO YOTE.

15,045,796

MATUMIZI


E
Matumizi ya Kawaida

9,000,000
H
Matumizi ya Maendeleo



(i)Fedha za ndani
4,161,177


(ii)Fedha za Nje
1,884,619


Jumla ya matumizi ya maendeleo

6,045,796

JUMLA YA MATUMIZI YOTE.

15,045,796

[TD="colspan: 2"] SHILINGI MILIONI
[/TD]
 
Mbunge wa CCM Lugola: Hatuwezi kukubali mnafuta kodi ya makampuni ya nje, na ya ndani mnasahau, Haiwezekani.
 
yaan mbatia amenifumbua MACHO,,,,,jamani WAHINDI NISIVOWAPENDA KWA XPLOITATION,,,,NASHUKURU SIJAWAH KUTIBIWA KWAO,,,,MATATIZO YANGU YANAISHIA TANDALE,AL-HAMDULILLAH

Nadhani wewe hujawachukia bado. Mimi bado nakumbuka tukio la Nduli Idd Amini ya kuwafukuza maponjoro wote UG. Nadhani alikuwa na hasira nao kuliko mm na ww.
Hawa watu wamekaa kimtego tu hapa TZ. wana nyanyasa watu na wezi kweli kweli!
Forex yote wanayoipata inakwenda nje kupitia hizo Bureau de change zao.
kwenye viwanda vyao ndo usiseme, transfer pricing inatumika kikamilifu kutorosha forex nje. TRA hawana control nao and sometimes wanavuta mshiko kutoka kwao (uzalendo hakuna)
Leo hii unatoa tax exemption kwa hawa watu!!!!!:flame:
 
Naona limekaa ki series zaidi natamani leo hata wasipumzike waendelee kupimana ubavu

reason behind wanapiga porojo,,,,yaan hiyo ndo 7bu mdau,,,na utekelezaj hakuna bora wataniane,,,yale mambo ya msing ambayo serikal huwa inashauriwa na wabunge hayatekelezwi,so wanaona bora wapige soga,,,sie huku ndo hadhira baasi,twasikia raha kwa soga,,,they are wasting our tym kwakwel,me nalifatiliakupitia jf tu,,,huku kaz zinakwenda,,,unaweza paliwa na chai kwa upuuz wa DODOMA
 
Lusinde katoa point mbili muhimu:

1) Unafiki wa mbowe kuchukua posho, na kutumia gari la upinzani wakati alilikataa
2) Bajeti ya upinzani haiakisi ilani ya chama chao, mbona hawaoni elimu bure kwenye bajeti ya chadema?

Hivi inajadiliwa bajeti ipi kati ya ile ya upinzani au ya Serikali?
 
Kenge huwa anairingia miamba kwamba ana rangi nzuri kuliko miamba,.....aringie maji ataweza?!!

Silly season..........!!!! tunawangoja hawa vilaza huku mitaani...come 2015!!!

hahahha'SILLY SEASON'PART NGAPI,,,,,
 
Poleni wana ubungo, mmechagua msela kwenda kuwawakilisha
Hawa ndio wa kuwapa hongera kwa kunufaika kwa kuichagua CCM

320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg
 
Hivi inajadiliwa bajeti ipi kati ya ile ya upinzani au ya Serikali?

hapo ni stori tu,,,muda uende,,,,,,hakuna lolote,,,,lunch hiyoooo,wanakula pamoja wanapiga stori wakija bungen wanataniana,,,,,wanasiasa bhana
 
Back
Top Bottom