Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bunge linapaswa kutafakari kama limeisimia serikali ambao ndo wajibu wake mkuu au limekuwa sehemu ya serikali katika kipindi cha miaka hii mitano
Kuna kuwa independent na kuwa interdependent mkuu unasimamia ukiwa connected
 
Bunge la hovyo kabisa - to be precise bunge la kitapeli:
1. wanakaa wanapitisha bajeti huku doto na jiwe wana bajeti yao.
2. bajeti iliyopitishwa will never be attained, ngoja akili iwaingie mjue effect ya covid-19, I believe in another 3 months you will understand what I am writing
 
Kwa uzoefu wangu japo si sheria mara nyingi ma Rais waliopita huwa katikati ya muhula huenda Bungeni kuhutubia kuonesha muelekeo wa Serikal yake lakin inekuwa tofauti kwa mwamba huyu.

Kila la Kheir Mwamba, Jabali, The Great Dr John J P Magufuli mtaani tunamwita Rooselevelt wa Bongo kwa kutuvusha kwny zahma ya corona
Inadaiwa kama rais atataka au kama kujajambo la dharula
 
tunatarajia majibu ya masuala yafuatayo:

1. yupo wapi ben saanane?
2. yupo wapo azory gwanda?
3. nani walihusika jaribio la kumuua lissu na wamechukuliwa hatua gani?
4. nani walihusika kumuua alphonce mawazo na wamechukuliwa hatua gani?
5. nani walihusika kumuua kanguye na wamechukuliwa hatua gani?
6. nani aliidhinisha pesa za kununua ndege na je hizo ndege zimeleta faida gani so far kwa maissha ya watanzania kwa ujumla?
7. bilioni 1.5 zilizotajwa kupotea na CAG zipo wapi?
8. pesa za kununua wapinzani wajinga zimesaidia je kuleta maendeleo ya nchi?
9. the so called ‘miradi ya kimkakati’ kama SGR tuliambiwa novemba 2019 ingezinduliwa kulikoni au leo ndiyo inazinduliwa?
10. kuzuia wapinzani wasifanye siasa na yeye kubaki kufanya peke yake kumeleta faida gani kwa nchi kiuchumi na kimaendeleo kipindi hiki cha miaka mitano?
11. covid-19 imeisha. wanasema. lini wanafungua shule za msingi?
12. miaka mitano ya kulazimisha apendwe ameamini kama mapenzi hayalazimishwi au tuongeze saiti?
13. atatangaza kuwa hagombei tena?
 
Bunge la hovyo kabisa - to be precise bunge la kitapeli:
1. wanakaa wanapitisha bajeti huku doto na jiwe wana bajeti yao.
2. bajeti iliyopitishwa will never be attained, ngoja akili iwaingie mjue effect ya covid-19, I believe in another 3 months you will understand what I am writing
Kwanini ndugai jana alimvaa suzan, kwamba nidikteta?
 
Bunge la hovyo kabisa - to be precise bunge la kitapeli:
1. wanakaa wanapitisha bajeti huku doto na jiwe wana bajeti yao.
2. bajeti iliyopitishwa will never be attained, ngoja akili iwaingie mjue effect ya covid-19, I believe in another 3 months you will understand what I am writing
So what? kwani hujui maana ya janga? nani kakueleza watanzania hatujui kama tuko kwenye janga na hali ni mbaya sana? Magufuli ndo aloleta Covid-19? upuuzi mtupu, endelea kupiga ramli na kuwanga huenda utafanikiwa.
 
Thread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.

Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.

Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Yeah bonge uchambuzi sisi wanaccm tunaakili nyingi ndio maana wapinzani wanatuhara
 
Kuna makosa kwenye hiyo miaka ya utawala wa maspika nakushauri pitia kwenye tovuti ya bunge then urekebishe mkuu
By the way bandiko lako zuri
 
Ila watu wa Hanang yaani Mary Nagu kwenu hana mbadala miaka 25 mnavyoteseka na huduma za afya maji ya kwenye michanga maeneo mengine hata magari hayafiki
 
BUNGE NI CHEM CHEM ZA FIKRA NA MIJADALA INAYOLETA MAAZIMIO YANAYOLETA MATOKEO CHANYA KWENYE TAIFA LOLOTE DUNIANI!

BUNGE LA HOVYO HUIBUA NA KUJADILI MIJADALA YA HOVYO NA KULETA MATOKEO YA HOVYO AMBAYO YANALIKWAMISHA TAIFA!

WANANCHI TUNAOPENDA KUIONA KESHO BORA YA TAIFA HILI, HII NI NAFASI YETU
YA KIPEKEE YA KUFUTA MACHOZI YETU YA MIAKA MITANO!

TUSIFANYE TENA MAKOSA KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU!


NB;
TANZANIA NI YETU SOTE
Ila si kwa watanzania mkuu. Ngoja Mwenyezi Mungu akijaalia ishallaah uchaguzi ukamilike utajionea. Tuna unafki fulani hivi
 
Back
Top Bottom